barnaba classic - tamu lyrics
[intro]
this is barnaba boy classic
africa princess (ah+ah)
go get you back to the loveless baby, mopao
you and me for real (samuel mou) eeh
eeh+eh
woh nah nah nah (oh+na+na+na+na)
london
[verse 1 : bernaba]
penzi langu alirudi, alirudi lanukia k+mpenda sina budi
nitaganze adharani ikibidi, tufanye makusudi
hatuogopi tan+tarira zao, maneno mchajao
wanafanya maneno baby sie tufanye matendo
[pre chorus : bernaba]
imani nilonayo ilitengenezwa na wewe
ukonyuma nilianguka, ukaniokota, ukanipanguza
upendo tulonao umentengenezwa namimi na wewe
hapo nyuma watuangusha tukanyanyuka
[chorus : bernaba & nandy]
penzi tamu neno penzi kw+ngu tamu
neno penzi kw+ngu tamu
jama mapenzi matamu
penzi tamu neno penzi kw+ngu tamu
neno penzi kw+ngu tamu
jama mapenzi matamu
naaah aiyaa ah+ah
[verse 2 : nandy]
uoh+uoh+uoh (princess malkia w+ngu ebu nisamee tell me now)
oh papa kwenye moyo w+ngu ushaweka alama na chata
kukupenda wewe sina shaka mhh
kwenye akili yangu ni wewe peke’ako umenikaa
kwengine roho inakataa
oh! moyo umekuami mana huniishi akilini
sijui umenipa nini mmhh
au umen’tupia kajini ndo mana umeni+win
mana hunishi akiliniii (aah tell them my love)
[pre chorus : nancy]
imani nilonayo ilitengenezwa na wewe
ukonyuma nilianguka, ukaniokota, ukanipanguza
upendo tulonao umentengenezwa namimi na wewe
hapo nyuma watuangusha tukanyanyuka
[chorus : bernaba & nandy]
penzi tamu (aaaahh) neno penzi kw+ngu tamu (babe)
neno penzi kw+ngu tamu
jama mapenzi matamu (jama mapenzi matamu)
penzi tamu neno penzi kw+ngu tamu
neno penzi kw+ngu tamu
jama, mapenzi matamu (jama mapenzi matamu)
penzi tamu eno penzi kw+ngu tamu (neno penzi kw+ngu tamu)
neno penzi kw+ngu tamu (tamu tamu)
jama (babe) mapenzi matamu (ahe+ah)
penzi tamu neno penzi kw+ngu tamu (tamuuu)
neno penzi kw+ngu tamu (tamuuu!)
jama mapenzi matamu
[outro]
this is barnaba boy classic
go get you back to the loveless baby
kamix lizer
you and me for real
Random Lyrics
- ajsc the dj - desktop storage mix vol. 33 lyrics
- dmitlx - кровавая ванна (krovavaya vanna) lyrics
- eddie black - architecture lyrics
- godhandusa - forked tongues lyrics
- keyesgen - pumpkin spice lyrics
- blocboy jb - fucc a nigga bitch lyrics
- the sidepeices - what would i stand for lyrics
- etta james - take out some insurance lyrics
- marel (esp) & costa trece - la unión lyrics
- ≛jusjronn≛ - city money lyrics