azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

barnaba - tuachane mdogo mdogo lyrics

Loading...

na spend muda na vavangaa
najinadii k+mbe wenzangu wana rambaa (ebo)
kila kitu unatambaa

wajigamba waniona dugagambaa
nilipoteza mudaa, na ukaringa

ukaniona mjingaa
na umeharibu mipangoo
nini spend muda kuwa chinii
ili nikuwin umenitupaa ng’amboo

kukupenda sababu
moyo umeupa maumivu
hata bila sababuu
moyo umeupa ghazabuu

kukupenda ndo sababuu wanipeleka
putaputa wanipeleka
kukupenda ndo wanipeleka
putaputa wanipelekaaa eeeh

tuachane mdogo mdogo
na me nikwache mdogo mdodo
ya nini marambano na zogo
tuachane mdogo mdodo

tuachane mdogo mdogo
naminikwache mdogo mdodo
ya nini marambanoo na zogoo
tuachane mdogo mdodo

ooh no no noo
nahisi nimeonewa eeeeh
kwa haya nilifanyiwa eeeeh
penzi langu bembea eeeeh
wamebembea wengineeee

shimo mwenyewe nilichimba
ndo linalonizika najiuliza kwanini
mapenzi yote nilimpaa
angalia kulizika baada ya nyama ye akaleta mainiii

kukupenda sababuu
moyo umeupa maumivuu
hata bila sababuu
moyo umeupa ghazabuuu

kukupenda ndo sababuu wanipeleka
putaputa wanipeleka
kukupenda ndo wanipeleka
putaputa wanipelekaaa eeeh

tuachane mdogo mdogo
na me nikwache mdogo mdodo
ya nini marambanoo na zogoo
tuachane mdogo mdodo

kukupenda ndo sababuu wanipeleka
putaputa wanipeleka
kukupenda ndo wanipeleka
putaputa wanipelekaaa eeeh

tuachane mdogo mdogo
nami nikwache mdogo mdodo
ya nini marambanoo na zogoo
tuachane mdogo mdodo

yo cadrick
heheee emma the boy
heheee k!lling the beat
no no no nooo huooooo
niliweka malengo nayeee
ameharibu mwenendoo
penzi kalitia pengoo mmh
simung’unyii sihemiiii
classic

unipeleka putaputa wanipeleka
unipeleka putaputa wanipeleka



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...