benaia - jabari lyrics
#intro
(tangu nikuwe mtoi)
(all i ever wanted)
(was to be a rugby player kama baba yangu)
king
legend
hero (hero)
(jabari)
(ni ka baba yake)
(hii dream ya rugby)
(ni yako)
#verse
(uh)
nimeamka saa hii
na bado jogoo wa kwanza hajawika
na mama anapika chai
na ugali ya saa sita
nasafisha uso
nakunywa yai na nashiba
i hope that ninamfanya proud
baraka yake niko nayo
viatu vina shimo
but si kubwa ka ya moyo
kuona matha akismile huwasha fire roho
mama ndio queen, namdhamini kama royal
nahope that ninamfanya proud, her image sisoil
mom
nakupenda
usiwai worry, nitak+makia life better
hutahave kuwork
dunia haitakupa pressure
tutabeat any weather
siku moja
but until then you’re my
#hook
hero (my hero)
you’re my hero (jabari w+ngu)
through the thick and thin (hero)
wewe ni jabari w+ngu (jabari w+ngu)
hero
you’re my hеro
#verse
uh
nimeamka saa hii
jogoo wa kwanza hajawika
baba
namwona kwa picha
but nikikaa hapa madakika zinapita
kama mwanafunzi anayemskiliza teachеr
mi na
mi nahope that i am making you proud, my father
nabebanga dreams zako around, my father
i look up to you, i proclaim you loud, my father
we ni superman
you are the sun, my father
when i’m lost
bila direction
mom huniambia story zako just for motivation
kuna wimbo ye huimba, umm
inaendaje tena? ati
(jabari ni+)
#bridge
hero (my hero)
you’re my hero (jabari w+ngu)
i’ve lived a double life
selling my soul
my perfection can’t unfold
trauma undisclosed
nimewapigania vita vingi
mama na baba
lakini sasa ni wakati
wa kusimama jabari
kwa nguvu nakuwa
w+ngu mwenyewe
it’s time for me to be (king, legend)
my own hero (hero)
i’m my hero
my own hero (through the thick and thin)
i’m my hero (mimi ni jabari w+ngu)
#verse
(uh)
nimeamka saa hii, lakini bado ninaona ndoto (hero)
hata wafanyaje hawawezi zima moto
i’m my h to my e to my r to my o
and if i’m not there yet
well d+mn!
then i’m headed for it
(jabari)
(ni ka baba yake)
hapana!
hii ni story yangu, nimevunja hiyo lawama
ya kutafuta mw+ngaza external
looking outward but the fight’s internal
i’m my own light, and i shine eternal
bad vibes zote into the inferno
niko na mkuki
niko na ngao
mimi pekee yangu versus watu kama thao (kama thao)
siwezi go down bila battle
kwani mi ni cattle?
hii dunia ni mine, hakuna kitu swezi handle
from today right now and forever i am my (hero)
#hook
hero
i’m my hero
through the thick and thin
mimi ni jabari w+ngu
hero
i’m my hero (my hero)
hero
my own hero
Random Lyrics
- is our children learning - falling asleep at the wheel lyrics
- juha vainio - rahtari-kalle lyrics
- fake dad - so dramatic! lyrics
- dzero (rus) - big step flow lyrics
- collapse 7 - crawling hate lyrics
- el zoinko - horsebusters lyrics
- cris mj - sin enamorarse lyrics
- edienomy - мало (a few) lyrics
- 6y gang - fabrik produkt 7 lyrics
- リルネード (rirunede) - 純白のリルネード (junpaku no rirunede) lyrics