bensoul - sugar rush lyrics
Loading...
je unak+mbuka
kule tumetoka
miaka imepita yeah (my love)
ona vile picha (mmmh)
jua likitua
nyota zinatangaza
kuwa nakupenda
na wewe unajua
unajua mama ma
mama my love
we ndo raha yangu
we ndo furaha yangu
my sugar my sugar rush
wewe ndo raha yangu
we ndo furaha yangu
mw+nga w+ngu
furaha yangu
raha yangu
je ungependa (mmmh)
tuonane tena
ju mi huku+miss sana (my love)
kila siku nakuwaza (oooh yeah)
jua likitua
mwezi utatangaza
bado nakupenda
wewe unajua
unajua mama ma
mama my love
we ndo raha yangu
we ndo furaha yangu
my sugar, my sugar rush
wewe ndo raha yangu
we ndo furaha yangu
mw+nga w+ngu
(uyee uyele uyelelele)
furaha yangu, raha yangu
(uyee uyele uyelelele)
Random Lyrics
- alicia kirkland - timed right (person, wrong time) lyrics
- pyhimys - hyvät hautajaiset lyrics
- charlie ray - spit a flow lyrics
- cg caillasse - isolé lyrics
- legs diamond (rock) - stage fright lyrics
- vago 64 - bazar lyrics
- hmot x - unloved lyrics
- a loss for words - bullets leave holes (demo) lyrics
- daughters of eve - stand by me lyrics
- jorge mujica - engines lyrics