azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

benzema - potential lyrics

Loading...

[intro]
yeeah skizaa

[hook]
potential, potential
unatingiza na tension
potential potential
lemme check ur credentions
potential, potential
unatingiza na tension
potential, potential
lemme check ur credentions

[verse : 1]
manzi yangu ni ms+xy
hapa compe ni kama ya coca+cola na pepsi
wanaume kwa dm wako wrestling
hadi wamefanya ndoa yangu ikuwe messy
mnataka sana manzi yangu
mnakazana sana na ni mali yangu
hawa watoto wa shule na wababa
wamechosha manzi yangu na kuomba namba
ju si hukula sembe na mboga kila mwezi
tukisota tunakula mapenzi
tukisota sana tunageuka wezi
alishasema hiyo life ye hawezi
[verse : 2]
excuse me
hiyo ni haga ama ni blister
alirombosa nkashikwa na mablister
d d disaster
nko ndani ya botelo pasa pasta
potential w+ngu ni nurse
ananiekea water drip iko na shash
na mbona ukiona miti unablash?
after mechi tutacheza candy crush

[hook]
potential, potential
unatingiza na tension
potential, potential
lemme check ur credentions

[verse : 3]
monday kutakuwa na malessons
na mkuje na maleso
excuse me atieno
wewe tukutane kesho
ofcos kutakuwa na kamnyweso
ni lazima tuf+kuze hizo mapepo
ndani ya dera hizo maneno
eeh zitingike na upepo
poten …..tiaaal x2



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...