bett bayo - maneno lyrics
Loading...
maneno ya kinywa changu wacha itawaliwe na wewe bwana
maneno ya kinywa changu wacha itawaliwe na wewe bwana
ninaponena ju ya maisha yangu ninene ya baraka si ku laani.
eeh nime barikiwa nime inuliwa maana kunayo nguvu katika maneno
ingawaaje hali niliyoko ni ya ku huzunisha na kuhangaisha
mtabiri mwema tena mazuri maana kunayo nguvu katika maneno
eeeeehe
maneno ya kinywa changu
wacha itawaliwe na wewe bwana
maneno ya kinywa changu wacha yatawaliwe na wewe bwana
kazi ya mikono yangu wacha ibarikiwe na wewe bwana
niamkapo na nilalapo
wacha ni lindwe na wewe bwana
maneeeeeeeeeeno
maneno ya kunywa changu wacha itawaliwe na wewe bwana
maneno ya kinywa changu wacha itawaliwe na wewe bwana
Random Lyrics