azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bien (ken) - finale lyrics

Loading...

[intro: bien]
hend

[verse 1: bien]
every time na bamba na siwezi sema sana
tena siwezi bonga sana
i never had a type in my life
vibe ni bamba na siwezi wacha nyama
tena wasikulagi sana

[chorus: bien]
leo silali ni kukesha
mitungi nawasha nachoma
tena sijali yamewashinda yao
yetu wataweza
leo silali ni kukesha
mitungi nawasha nachoma
tena sijali yamewashinda yao
yetu wataweza zaidi

[hook: bien]
fainale watatupenda
fainale refari
fainale uliza kipenga
fainale oh watadi
fainale watatupenda
fainale refari
fainale uliza kipenga
fainale
[verse 2: alikiba]
hata wakizi madata usisikize haya
mapenzi mimi ni profеsa
hiyo hakuna na mambo ya juu juu juu
oh my love najua mungu atatulinda
naomba oh baby leo silali
it’s your birthday tonight
agizia dorime
hakikisha hiyo bill asipеwe mwingine

[chorus: alikiba]
leo silali ni kukesha
mitungi nawasha nachoma
tena sijali yamewashinda yao
yetu wataweza
leo silali ni kukesha
mitungi nawasha nachoma
tena sijali yamewashinda yao
yetu wataweza zaidi

[hook: alikiba]
fainale watatupenda
fainale refari
fainale uliza kipenga
fainale oh watadi
fainale watatupenda
fainale refari
fainale uliza kipenga
fainale
[outro: bien]
repete, repete, repete



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...