bien (kenya) - lifestyle lyrics
[verse 1: bien+aimé baraza]
kipara bila pesa kidonda
cheki vile dem yako anakutoka
wananitanga maradona
juu mi huwakata nikisonga
usipandishe mrembo bodaboda
hiyo ndio siku ya mwisho utamwona
usiulize kama niligonga
niulize kile niliona
ai, atakama nasare dry fry
nakupiganga bila mundai
vidole mbili weka peace sign
hizo zingine weka inside
you know i pull up like a g
shawrry ameweza she’s a freak
hakunanga kitu ya free
naguza nione kaa ni real
[chorus]
lifestyle
you know they love me for the
lifestyle
niite iluminati k+mbe
lifestyle
unasema ni bhangi k+mbe
lifestyle
top g me ndio propella
lifеstyle
haga bigi imejaa kwa dera
lifеstyle
nainaclap nainaclap nainaclap
lifestyle
nainaclap nainaclap nainaclap
lifestyle
[verse 2: scar mkadinali]
let’s get it
maisha fiti na marafiki tunaungua
nasi cheating kama wifey anajua
mziki hailipi bas ni vipi nina ganji
shika tikiti kuja uone vile kwa mike inachafua
kikulacho ndio hiyo hapo inakusumbua
tunajua ni bibi yako ukimwanika tunaanua
bidii jasho ndio hiyo dingo utanunua
otherwise piga kalesa naikikuuma unaweza zua
twende
lifestyle kuna wenye inawawasha
last time tukikataa kupeform naivasha
ndani ya 110 ninawapita ka zaa nascar
nilikuw+nga wanted lakini saa hii wananitaka
sini funnier
vile hii song imefanya msupa atake kunizalia
swali kubwa najiuliza mi ni chali ya
siwezi sema juu ni hali ya
lifestyle
nasipendi mapicha
lifesyle
ngwai bila filter
lifestyle
msupa wa mine mi naficha
lifestyle
bien huw+nga mziza
lifestye
kila label kila teaser
lifestyle
nasipendi mapicha
lifestyle
lifestyle
[pre+chorus: bien+aimé baraza]
maandamano maandamano
wamepandisha bei ya avocado
cheki kaa imeiva finya kapiano
promoter hapana leta zogo
kabla show nilipe full price
hapa duniani nikona one life
mzinga kwanza lazima baptize
kwa nyonginyo nikona half life
you know i pull up like a g
shawrry ameweza she’s a freak
hakunanga kitu ya free
naguza nione kaa ni real
[chorus]
lifestyle
you know they love me for the
lifestyle
niite iluminati k+mbe
lifestyle
unasema ni bhangi k+mbe
lifestyle
top g me ndio propella
lifestyle
haga bigi imejaa kwa dera
lifestyle
nainaclap nainaclap nainaclap
lifestyle
nainaclap nainaclap nainaclap
lifestyle
Random Lyrics
- tprtns & vishnya free - новый мир lyrics
- sun june - washington square lyrics
- medy - non piangere mamma lyrics
- blessed dmn - слэнг (slang) lyrics
- sanchez by the sea* - san andreas road lyrics
- poe cete - buddhist monk lyrics
- sasta - beş kişi lyrics
- זהבה בן - yakar meyahalom - יקר מיהלום - zehava ben lyrics
- pedro174omg - dedadão lyrics
- touch excellent - couch song lyrics