bien (kenya) - maandamano lyrics
[intro : uhuru kenyatta]
“we have a youth fund, that if not properly handled can be a time bomb that can blow this country into pieces”
[verse 1: bien]
wanadhani si bongo lala
kikupita we bongo lala
na waliosema jana haiwezi fika leo
tuko ground tunazoza
na jiji kuu k+mewaka sana
kuna mabeast wanachafua rada
na walosema jana haiwezi fika leo
tuko ground tunazoza
haa hakuna mboka
wapeleke shuleni watasoma
madakitari wamegoma
hapa sa ni yesu atatuponya
waambie punda imechoka sana
na farasi bado hij+patikana
ni mandai wanagonya na mali wanabonda
tunakonda wananona
[chorus: bien]
maandamano maandamano
maandamano maandamano
uh mi say
maandamano maandamano
maandamano maandamano
mapambano, maandamano
ni maandamano, maandamano
na mapambano, maandamano
bado mapambano, maandamano
(yeah big baba, yo)
[verse 2: breeder lw]
independence 60 years tuliambiwa ni self rule
billions on billions tunaibiwa na the same crooks
“tunalipa madeni” hizo ndio ma excuse
hii ni generation zii tuezi make the same moves
#occupyparliament twende maandamano
tribeless partyless hio ndio msimamo
they k!lling us kwa protest si bado tuna march on
rip to our heroes tushawasha candles
haki iwe ngao na mlinzi
nionyeshe politician mgani mwenye si mwizi
sunday wako church pastor kuwabariki
monday cheki news another scandal kwa tv
yo kuna shughli inatakaga mbogi
#youmustgo tunaimba kwa ma ploti
hujengi shule hakuna madawa hosi
tumejam usijifanye huja notice
[chorus: bien]
maandamano maandamano
maandamano maandamano
uh mi say
maandamano maandamano
maandamano maandamano
mapambano, maandamano
ni maandamano, maandamano
na mapambano, maandamano
bado mapambano, maandamano
[outro]
eeehhh
(hon. sifuna)
“how do you teargas a baddie? surely”
(protester)
“we’re not going anywhere, we are rejecting the finance bill..parliament tutafika, nisk+me!”
(bien talking to crowd)
(chorus fading)
Random Lyrics
- slugs & bugs - fruit of the spirit lyrics
- arxim03 feat.yefomite - папич йоу (papitch wow) lyrics
- mc tree g - i usually say how i feel lyrics
- beatriz pisano - o dono da unção lyrics
- paul young (manchester) - baby you blow my mind lyrics
- amk - le soucis du détail lyrics
- sara baroni - goodbye lyrics
- blu & evidence - wild wild west lyrics
- jean-baptiste lully - au clair de la lune lyrics
- lil allee - mclaren lyrics