bill-kill - songa mbele lyrics
(verse 1)
watasema watashoka usiku na mchana//sisi tuna songa bali// bill-k!ll famili// sisi tunauwa// wepeke wajuwa// bila mziki sili leta deali tule//tule pesa wote// wakaka na wadada wa dongo na wakubwa//tule pesa wote wakaka na wadada wa dongo na wakubwa.//
refrain: songa mbele x3 mchana na usiku
songa belle x3 akuna kurudi. répéter
(verse 2)
tunatoka mbali na mziki uyu[uyu,uyu]//tuna kwenda mbali na mziki uyu[uyu,uyu]//tunatoka mbali na mziki uyu[uyu,uyu]//tuna kwenda mbali na mziki uyu.// {tume ibiwa , tume tukanwa//”no one” atahitika //ndo mahana
tunatoka bali//(tunakwenda bali)x2 haa}
refrain: songa mbele x3 mchana na usiku
songa belle x3 akuna kurudi. répéter
(verse 3)
wewe nyuma//sisi mbele ume nouna,// iyo noma ume ona//wewe nyuma//sisi mbele// iyo noma//
(ayo yote nimolaaaa nakujitumaa x2)
refrain: songa mbele x3 mchana na usiku
songa belle x3 akuna kurudi. répéter
Random Lyrics