billnass - number one lyrics
[chorus : mbosso]
nitaomba mabawa nipae
mabawa nipae
mpaka mbingu ya sita
neema na baraka zitufae
baraka zitufae
kutoka kwa malaika
honey mi nadhalilika
yani ulivyo nishika
honey mi nadhalilika
yani ulivyo nishika
[verse 1 : billnass]
mamaa mamaa mama ake
ndakupenda kesho nakupenda today
bado nahangaika natafuta niombeye
mwenzako mi na wivu nasitaki tushare
mamaa mamaa mama ake
ndakupenda kesho nakupenda today
bado nahangaika natafuta niombeye
mwenzako mi na wivu nasitaki tushare
[bridge : billnass]
kwenye mamilioni kw+ngu we namba one
oneeee yooooh
watayasema yote na bado hatuachane
chani yooooo
hata wakiniona zoba
as long as uko nami
wakisema unaniroga
waambiye unanirogeya chumbani
hata wakiniona zoba
as long as uko nami
wakisema unaniroga
waambiye unanirogeya chumbani
ooooh nanaaaa
[chorus : mbosso]
nitaomba mabawa nipae
mabawa nipae
mpaka mbingu ya sita
neema na baraka zitufae
baraka zitufae
kutoka kwa malaika
honey mi nadhalilika
yani ulivyo nishika
honey mi nadhalilika
yani ulivyo nishika
[verse 2 : billnass]
kwaizi raha unazonipa mpaka naishiwa maneno
nampеnda mama nampenda baba na wewe ukiwеmo
penzi wakishika nakata nakata kama musumeno
sali tuzeeke wote mpaka tug’oke meno
[verse 3 : mbosso]
na akili zaniruka
likitajwa lako jina
siyo siri nawehuka
ubaridi mwili muzima
[bridge : billnass & mbosso]
kwenye mamilioni kw+ngu we namba one
oneeee yooooh
watayasema yote na bado hatuachane
chani yooooo
hata wakiniona zoba
as long as uko nami
wakisema unaniroga
waambiye unanirogeya chumbani
hata wakiniona zoba
as long as uko nami
wakisema unaniroga
waambiye unanirogeya chumbani
ooooh nanaaaa
[chorus : mbosso]
nitaomba mabawa nipae
mabawa nipae
mpaka mbingu ya sita
neema na baraka zitufae
baraka zitufae
kutoka kwa malaika
honey mi nadhalilika
yani ulivyo nishika
honey mi nadhalilika
yani ulivyo nishika
Random Lyrics
- bind the sacrifice - there is no business to be done on a dead planet lyrics
- dxor scxmbxg - 4 l0tt4 lyrics
- nobody's girl - bluebonnets lyrics
- big brody ode - an object at rest lyrics
- max dirado - nihilism lyrics
- oatmilkandcodeine - david kratombeg's christmas carol lyrics
- osuwojr - beiby lyrics
- freshy dageneral - sin lyrics
- conscius - avoidant pride lyrics
- arde bogotá - virtud y castigo lyrics