
blue stars modern taarab uganda - mtoto wakiafrica lyrics
Loading...
chorus:
mtoto wakiafrica nakupenda- jinsi olivyo umbika ni wewe tiu
macho yako wewe- unavyo ya rembua mimi kwako kweli ni meditate
verse 1
ni wewe nikupendaye- w-ngu ulo na thamani
na ndiwe unifaaye- mjuzi kwenye makini
katu sikuachi miye- wakerekao poleni
chorus
verse 2
mimi nakutaja wewe- w-ngu baby mahashumu
simuoni mwenginewe- na hili piya fahamu
hata sumu tuekewe- mi nawe hadi kiyamu
chorus
verse 3
basi imani fanyiza- unitowe kwenye taabu
usiwe unaniliza- mpenzi w-ngu swahibu
ukini fanyia iza – mwenzio wani adhibu
chorus
verse 4
moyo w-ngu umependa – uwe w-ngu laazizi
usini fanyie inda -jicho likatowa chozi
hebu sema wanipenda – niridhike nalo penzi
chorus
end
Random Lyrics
- psy 4 de la rime - perf 2 ouf lyrics
- nathaniel rateliff - forgetting is believing lyrics
- reaper (la) - vertigo lyrics
- qbo - fantasma lyrics
- rich kidd - i'd be lying lyrics
- sabina y páez - enemigos íntimos lyrics
- sf-x - ტანო ტატანო / tano tatano lyrics
- sani elizabeth - fat ass lyrics
- timbaland & magoo - kold cutz lyrics
- juan gabriel - juntos lyrics