azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bobby shyrah feat nadu – zima mataa lyrics

Loading...

intro:
hey hey hey zima mataa
zima mataa alright alright
si mzime mataa
zima mataa songa karibu na mimi washa mshumaa
uuuuuh zima mataa njoo karibu na mimi wacha kuduwaaa
uuuuuh zima mataa alright yeah
zima mataa si muzime mataa

verse 1:
naomba twende taratibu
baby mi nitakutibu
kila swali mi nitalijibu baby
napenda hio tamba yako
sambamba na pamba zako
sasa nipe mkono wako
njoo karibu nami, oooooohh
hakika uturi wako
unanivuta mimi kwako
nimekungojea wewe
njoo mpenzi twende kw-ngu

chorus:
uuuuuh zima mataa [shyrah]
songa karibu na mimi washa mshumaa [nadu]
uuuuuh zima mataa
njoo karibu na mimi wacha kuduwaaa (x2)

verse 2:
njoo karibu nami
na wala usiogope honey
usiwajali honey
naomba nikutibu baby
puuza yote around you ila me
naomba nikupe mapenzi baby
mi nawe bila stress
kuja nikuchapie baby
wajinga nishawapa ilani
tulia nikupemapenzi baby

outro:
uuuuuh zima mataa [shyrah]
songa karibu na mimi washa mshumaa [nadu]
uuuuuh zima mataa
njoo karibu na mimi wacha kuduwaaa (x2)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...