boiblacc, kilihippie - nayo nayo lyrics
intro
nayo! nayo!
hey!
nayo! nayo!
buda! (boss!)
it’s boiblacc
hey! (hey!)
hey!
hook
nayo! nayo! ka ni moto wee ilete
nayo! nayo! k south hadi kabete
nayo! nayo! ungem, ki eighty seven
nayo! nayo!
(nayo! nayo!)
nayo! nayo!
boss, nipate isich
boss, nipate wadhii
boss, nipate river roadi ma’ali bei ni fiti
boss, nipate la
boss, nipate carni
buru, uhuru, salem, baha… alafu calif
verse one
boss, nipate wadhii kwa plukg, malebo kali
bei, ya soko nd’o inafaa ukishika cladi
mali ya madukani huzipata kijuakali
bongo la biashara, lugha ya kinyumbani
mzito bila mizani
gwiji bila kipaji
macho bila pazia n’kiska burungu flani
yoh! sa form ni gani?
hiyo, jaba huchani?
hu’ ni msupa wa nani?
mali ya nugu flani
pigwa kalamu buda
jamaa ashakafuga
kulalisha nairobi ni ka macho umefunga
ukianika bibi utagueziwa msupa
na ka si wembe wengine hunyolewa na chupa (chupa!)
bridge
usiwe na stress, haraka wala pupa
usiwe na stress, mawaidha ntakupa
usiwe na stress kijohnte na kabudaa
nayo! nayo! ikam ka inakuja
usiwe na stress, haraka wala pupa
usiwe na stress, mawaidha ntakupa
usiwe na strеss kijohnte na kabudaa
nayo! nayo! ikam ka inakuja
hook
nayo! nayo! ka ni moto wee ilete
nayo! nayo! k south hadi kabеte
nayo! nayo! ungem, ki eighty seven
nayo! nayo!
(nayo! nayo!)
nayo! nayo!
verse 3
boss nipate mada backyard na kitu safi
rada ka ni safi mafedi hawonekani
swamiii ka hujui ni nani talent extraordinary
champion mixed with vans st++z imekubali
kili boiblacc na mimi si tafafhali
na sio ati nini hii ni kawa kawaida tuko kazi cup got kahawa sio twende kazi
hakuna kuwacha till i’m in every kasi
kutesa kutesa kuniita show hio doo huwezi mpesa
kutesa kutesa hii si games games tuliacha kucheza
kutesa kutesa from coal to diamond took pressure
kutesa kutesa speaker zinaeza choma chunga
haiyawani beast nikihitaji na hewani mystic kuseti hali
macho on me ungedhani telly hizi za gani zile utanoki
nayo nayo beast nikihitaji
nayo nayo mystic kuseti hali
macho on me ungedhani telly
nayo nayo zile utanoki
Random Lyrics
- fallenwing - robloxkore lyrics
- floomybtw - wenotlikeuuu remix w/ vldrac lyrics
- demonixion - deal lyrics
- nomen - старт (start) lyrics
- oasis - roll with it (live at itunes festival, 2009) lyrics
- lucille - don't shoot us down lyrics
- stephen foster - little ella lyrics
- the slut banks - braindead lyrics
- aiden neeper - piggy bank lyrics
- sandro - dulce lyrics