bon lwiwa - nakupa lyrics
iizy.
uuuh nakupa
penzi langu la milele
moyoni sitaweka wengi ni wewe
njoo upesi usichelewe
uvumilivu ndo siwezi nisamehe
story zangu zote wewe
baby nielewe
kukupenda ndo siachi milele
stori zangu zote wewe
baby nielewe
kukupenda ndo siachi milele
upendo wako ndo nguzo kuwa nawe ni tuzo
moyo w+ngu nakupa
upendo wako ndo nguzo kuwa nawe ni tuzo
moyo w+ngu nakupa
nikuvishe pete mbele ya altare
nakupa
mimi nawe penzi letu liende mbele
nakupa
tabasamu siishi hamu
na kichwani uko timamu una nidhamu
sitajitoa ufahamu
nakupeleka kwa wazazi uwe wa kudumu
na upendo wako (upendo wako baby)
unanifanya niwe
na hekima yako (hekima yako baby)
inafanya tuwe
upendo wako ndo nguzo kuwa nawe ni tuzo
moyo w+ngu nakupa
upendo wako ndo nguzo kuwa nawe ni tuzo
moyo w+ngu nakupa
nikuvishe pete mbele ya altare
nakupa
mimi nawe penzi letu liende mbele
nakupa
upendo wako ndo nguzo kuwa nawe ni tuzo
moyo w+ngu nakupa
upendo wako ndo nguzo kuwa nawe ni tuzo
moyo w+ngu nakupa
nikuvishe pete mbele ya altare
nakupa
mimi nawe penzi letu liende mbele
nakupa
eeeh eh nakupa
eeeh eh nakupa nakupenda
Random Lyrics
- human petting zoo - nihilism isn't my cup of tea lyrics
- glowtone - colosseum lyrics
- nive - where's my love lyrics
- barf - campione lyrics
- larharyhmä - kaipaan sua niin lyrics
- lalu slavicka - wypalenie lyrics
- yaşar kurt - fırt emin lyrics
- patron saint of bridge burners - untitled lyrics
- nej' - j'ai mal lyrics
- dánielfy gergő és az utazók - azt mondtad lyrics