bonge la nyau - nimechoka lyrics
[intro: bonge la nyau]
whoa
mac
expensive rapper
silvana
i love you, baby girl
[verse 1: silvana]
h+llo, h+llo, ma
wazima huko nyumbani?
mi na homa, hali yangu mi tafarani
natamani’ kurudi nyumbani, tuishi kama zamani
maana’ mi nautesa moyo, kila siku kujiliza ndani
na presha mie
mwanaume gani kisirani
maana’ mi nautesa moyo, kila siku kujiliza ndani
na presha mie
mwanaume gani kisirani
[chorus: silvana]
sasa nimechoka
naondoka
sasa nimechoka
naondoka
<>
yes
[verse 2: bonge la nyau]
uh, sijui hata kwanini baby huniamini
nnapokuwa mbali na wewe, unajua mi na cheat
wewe w+ngu mimi, basi baby jiamini, nnapokuwa mitikasi hata simu mi sishiki
siwezi sema tena, “basi”
nkakata tamaa, ntatuliza yangu nafsi, iliniponza tamaa
(?mcha pro max), danga la kitaa
mtaka nyingi kwa pupa, moyo umeuachia balaa
mi bado kijana sana, ujana mama
ntapambana sana baby usije nikataa
ah, makundi bwana, starehe za ujana
vishawishi vya dunia nishavikataa
i’m sorry
[chorus: silvana]
sasa nimechoka
naondoka
sasa nimechoka
naondoka
[bridge: silvana]
nimechoka kulia
vurugu mechi’ ndani hapakaliki
una gubu, baba wee
(baba wee)
bora tu kutulia
ya sasa sio ya zamani, hayatamaniki
hii nafasi niigawe
eeehh…
[chorus: silvana]
sasa nimechoka (nimechoka, nimechoka)
naondoka (naondoka’ narudi kwa mama)
sasa nimechoka (nimechoka, nimechoka)
naondoka (naondoka’ narudi kwa mama)
sasa nimechoka (nimechoka, nimеchoka)
naondoka (naondoka’ narudi kwa mama)
sasa nimechoka (nimechoka, nimechoka)
naondoka (naondoka’ narudi kwa mama)
Random Lyrics
- the basement dry - between sight lyrics
- krave [au] - red flag lyrics
- stresi - nato lyrics
- joel corry, raye & david guetta - bed (chloe wilson remix) lyrics
- cusboi - bodoh karena cinta lyrics
- kylie dailey - no good kudzu lyrics
- scardinni - tanta coisa lyrics
- mia borders - right on time lyrics
- black boe - rilow skit (waddup rilow) lyrics
- casper yu - deep inside your love lyrics