azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bonihasto boni p - mzuka ile mbaya lyrics

Loading...

[intro]
bonihasto boni p
bonistar baby
ahhh ahhhh

[verse 1]
kila place k-meshona,floor is on fire
i take her to the corner,ni mizuka ile mbaya
go gal get low,iyo figure ni noumer
unavyoshake iyo kiuno,k-mgusa -ss homa
wanaongelea swagga,hawa n-gga wan-z-ngua
i do it bigger,baby better looka here
bonihasto kwa sound,yeah hakuna anayebattle
machiz wapo around,ni bottle afta bottle
jack kaleta pozi,yeah man tupa kule
watoto wazuri in house,usijiumize bure
come near to me ma,show m how you do dat
hii sh-t hutumii,vinywaji zote tule
atuangalii izo clock,huu mwendo kutoboa
dj tupia hard track,zile nyingine zinaboa
hii ndo nyt tuliyoisubiri,haina tena kujibana
tunavunja ile hatari,siumeona bhana

[hook]
gambe akilini,nipo mzuka ile mbaya
smoke hewani,nipo mzuka ile mbaya
muziki kwa moyo,nipo mzuka ile mbaya
step kwa floor,nipo mzuka ile mbaya
nipo mzuka ile mbaya ,nipo mzuka ile mbaya
nipo mzuka ile mbaya ,nipo mzuka ile mbaya
nipo mzuka ile mbaya ,nipo mzuka ile mbaya
step kwa floor,nipo mzuka ile mbaya

[verse 2]
huu ndo usiku tulioisubiri,tunavunja hatujali
hustle zinapay bill,tunabug hatuna habari
full dope mzazi,nalook dapa dapa
fresh clean kinyamwezi,ila me wa hapa hapa
nje ni baridi,ndani full joto
we party til we die,imeshatoka ndo motto
gambe kwa system,aibu zote ni cello
mizuka na stimu,ni mori zaidi ya yero
shawty kapenda style,umeipata miss
ondoa wasiwasi,ntakutreat nice
me mkal wa zile show,nasimamia mpaka wanablo
bounce huo mzigo slow,mpka niluzi kontrol
tumekam fanya yetu,hizo macho we don care
mizuka ikiwa full,rusha mikono kwa air
ni maujuzi no limit,cjui utanieleza nini
new fleva in town,mtoto wa mtaa ninarun

[hook]

[verse 3]
usinipimie msee,nipo mzuka ile mbaya
m boy ni hatare,nipo mzuka ile mbaya
machiz wote kwa club,wapo mzuka ile mbaya
mamanzi wote kwa club,wapo mzuka ile mbaya
rusha mikono kwa air,kama upo mzuka ile mbaya
do yor step don’t care,kama upo mzuka ile mbaya
put your hands in air,kama upo mzuka ile mbaya
now lemme hear you say,nipo mzuka ile mbaya
nipo mzuka ile mbaya, nipo mzuka ile mbaya
nipo mzuka ile mbaya nipo mzuka ile mbaya
nipo mzuka ile mbaya nipo mzuka ile mbaya
step kwa floor,nipo mzuka ile mbaya

[hook]

[outro]
yeah i tolda ya
bonihasto boni p
bonistar baby
eyo tanzania.. nipo mzuka ile mbaya
twenty dozen(2012)..imeshatoka baby
yo mesen ,i see yu bro
ayy ayyy ayy ahh ahhhh



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...