boondocks gang - 420 lyrics
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana za mabibi zao
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana za mabibi zao
sini+si ni wale wabaya wacha kushangaa na hatuna haya na hii umang’aa
niko juu ya jaba nikiteremsha chang’aa na niko na
mbogi yangu nikute kwa mtaa tutesa kila siku vile inafaa
usingizi iliisha hujalala siku saba
mguu zetu chafu bado unageuzana legolize, miti ni dawa
mangoko wote wako na umang’aa mangati wote wako na umang’aa
mtaa zote ziko na umang’aa
kama hujui sisi wote ni walee
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana za mabibi zao
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana za mabibi zao
shada imekazwa ndo ishikishi
napita nikikata nikisipisi
napiga hiyo kitu ina pisi pisi
ukiona mi na mbulu jua niko masii nakemba wambo, shiko,
njeri na mercy hizo shimo zote mi nina ma+key nakata base ++ mloso na
cassey chombo ua kasongesho brikicho,
hicho hicho kalongongo na banono
kilokolo cha mbao kuchengwa ngwa kwa grao
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana za mabibi zao
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana za mabibi zao
odi wa murang’a ni ka nimemeza
tongs na leo katashika tu bila jing jongs
na rieng niko ready tu camera ikiwa on
na hao mangeus hapo kando walegeze thongs
mangwati mingi mingi kendo ngiri thirty mangwai mingi mingi kendo
mkoko thirty mi sina akili mi hutemea hadi
wale mate mi humwaga ka chizi sipanguzi ndo ulambe
yesu ungekuwa mkenya ningekuwa peddy wake
ka angekuwa githu ningemtoka sandles zake
leo sidai beef sapa nakula sistake
na beat ishamada kelly twende
tukakate si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana za mabibi zao
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
si ni wale mang’aa wa ma ng’ang’o
sisi ni mabwana za mabibi zao
Random Lyrics
- seo eunkwang - have a nice day lyrics
- campusanis - d.a.n.c.e lyrics
- omer j music - taile kemne ki lyrics
- double cross - dying sun lyrics
- baker ya maker - 3 times lyrics
- whitekidcargo - meduca lyrics
- jason walker - keep stepping lyrics
- lil boodang - gimmi sum lyrics
- bug hunter - piano teacher lyrics
- youngoag - кто это? lyrics