boondocks gang - madam lyrics
(intro)
yao yao, boondocks gang gang
yoh prrr kang kang
wakali wao, yao yao
ndio hao
(odi wa murang’a)
buda nach0r-a huyu madam
buda zimeraru ukadance
weekend ndio hiyo imeland
mkoba akilalisha unda plan
shusha izo keg na majug
(chorus)
eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie
hakuna ithee ya yut man, we turorie
odi kabisa turorie turorie
meda ofisi turorie turorie
alafu zikishika shuka na madam
shuka na madam, shuka na madam
alafu zikishika shuka na madam
shuka na madam, shuka na madam
(madox)
simama kwa miguu rusha mikono juu
ni kangoma kamenice anza tu kubanju
eey ush-geuka umeshika tu ukuta
cheki tu kwa kichwa umeshuka tu matuta
ona vile nyuma umejaza tu mauta
me kwenye mdomo hani mkono niko luta
kama zimeshika tuwakuna nawachilia
madem wakikam tunawapandilia
starehe yetu bei tumegharamia
cheki masaa, tumeshachelewa
sasa nani atadrive na tumeshalewa
ebu chunga hao madem wanaweza kupora
ju wengi wa huko ndani ni wakora
cheki sasa zetu zimenyc
hiyo gl-ss yangu niongezee zile ice
najua nitableki toka sasa mpaka night
(chorus)
eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie
hakuna ithee ya yut man, we turorie
odi kabisa trorie turorie
meda ofisi turorie turorie
alafu zikishika shuka na madam
shuka na madam, shuka na madam
alafu zikishika shuka na madam
shuka na madam, shuka na madam
(odi wa murang’a)
odi wa murang’a amekam turorie
makeg zikiisha muratina turorie
tukimix na kindovu zitugorokie
ah mi nakata biko hadi munikururie
kama thutha iko fiti mi nariada
na ka itabidi nitaseti hadi wada
kimahuru toa kutu hadi nikiwa jaba
nyorea mi hapana tambua lawama aah
(chorus)
eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie
hakuna ithee ya yut man, we turorie
odi kabisa trorie turorie
meda ofisi turorie turorie
alafu zikishika shuka na madam
shuka na madam, shuka na madam
alafu zikishika shuka na madam
shuka na madam, shuka na madam
yoh, nabonga tu arabic, ninabonga tu na ngeli
ya waroro wamekam wamechrome ka bacteria
nataka tu nilewe nibebwe hadi ma area
ka daily ya kusere tu na pongi tu ya maria
shikisha njugu na veve, tei ni kachok
hapa mi ndio sponsor, mi ndio the host
piga tot, piga chok, na makwela na matoast
kibash kiko light kimeanza tu kuburn yoh
ki u-miguna miguna, baby come, baby come
za madem zimenice wameanza tu kuturn
za wagenge zimeshika ni kushuka na madam
mi nadai figure 8 ndio niskie tu utam
kata kutu toa nyege, punguza mahanjam
kuku danger kuwamanga tunapenda vitu tam
na kama wewe ni fisi kama line nitakucross yoh
seti ki sssh, kiende chain mos mos
shuka na madam, mjulubeng ka ni gun
ruka hiyo plan kuruwen ndio niburn
amesanif pedi kuna mresh ashawet
kameseti already si unajua we ndo next
kamemada pienga si unajua hii ni case
anadai emoji hakuna haja ya kutaste
anadai konyagi na chaser za ma krest
cheza kunguni na sijui ka ni pest
(chorus)
eeh itisha mzinga bana, zikikam turorie
hakuna ithee ya yut man, we turorie
odi kabisa trorie turorie
meda ofisi turorie turorie
alafu zikishika shuka na madam
shuka na madam, shuka na madam
alafu zikishika shuka na madam
shuka na madam, shuka na madam
Random Lyrics
- kayiiow - agape. lyrics
- ぜんぶ君のせいだ。(zenbukiminoseida.) - 唯君論。 (only you theory.) lyrics
- amália rodrigues - tirana lyrics
- matthew west - not today lyrics
- safehouse - sidewinder lyrics
- god's revolver - dead rider theme / this long and lonely drive to hell lyrics
- saiko - cuál es tu plan lyrics
- bloodyken - no regrets lyrics
- группа goa (gruppa goa) - на окраинах (on the outskirts) lyrics
- mc rafaello - walking away lyrics