boondocks gang - maisha yako lyrics
odi wa muranga
unabrag unashow off uko na maringo
play humble hauna kitu ulisota all in all be you
inaitwa maisha yako life yako
maisha yako life yako
maisha yako life yako
ni yako tu
inaitwa maisha yako life yako
maisha yako life yako
maisha yako life yako
ni yako tu
exray
please baby don′t dare me
kabla nikufanyie ile kitu
unfairly i don’t do diss i don′t do like really ati
niko fully kwa msee mtanipea leave
man top dog top baddest like khalid
babe anishinda akiiitisha kitu solid after
mamzinga an cheza namaburley niite
chris’s darling saa imagine
360 reverse na shift shika handbrake
drift inaitwa badman tings hii ni german mashine
inatoa freno atleast cheza na bompa hii pick iko on repeat
inaitwa maisha yako life yako
maisha yako life yako
maisha yako life yako
ni yako tu
inaitwa maisha yako life yako
maisha yako life yako
maisha yako life yako
ni yako tu
maddox
tuko macho tuki mobilize
mbogi iko janta waki legalize
nipate kwenye twitter niki type walai
steam zikishuka waiter organise
ina clap juu ya ma foreign mashash na tukiwa bash
kuna stokoh inakam
tuko fabulous kila wiki tuki stack
nikaa drakula juu ya miti kama bat
piga celilullar uko diji my line
soo bazzle wacha nipige hustle
no caption maisha tuko kwa zone
movie za indiana jones ziushika kwa phone
360 reverse na shift shika handbrake
drift inaitwa badman tings hii ni german mashine
inatoa freno atleast cheza na bompa hii pick iko on repeat
inaitwa maisha yako life yako
maisha yako life yako
maisha yako life yako
ni yako tu
inaitwa maisha yako life yako
maisha yako life yako
maisha yako life yako
ni yako tu
odi wa muranga
nilidhani moses alipewa
10 commandments
akiwa nai k+mbe si nai ni sinai
akiwa nai k+mbe si nai ni sinai
nilidhani moses alipewa
10 commandments akiwa nai
k+mbe si nai ni mountain na inabamba
bamba bamba bamba
Random Lyrics
- junior john - poi waka lyrics
- gunner lee - the shakes lyrics
- kuremino - addosso lyrics
- taklit - danced lyrics
- king yare - bad to me lyrics
- kukon - porcelana lyrics
- bananas in pyjamas - la vie en rose lyrics
- bronclair - progress lyrics
- kali claire & phabo - escape plan lyrics
- ovo frito - quando eu chegar lyrics