azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bosco nshuti - amenipitia lyrics

Loading...

lyrics

chorus/
na mimi niko katika wale ambao amewapitia nikiwa na huzuni akanirehemu kwa upendo akaniokoa nakuniponya amelipa deni zangu zote

verse1/
upendo usiyo fananishwa rehema ambazo haziishi hayo ndiyo mfalme w+ngu alinionyesha pale nilikuwa sina wakunijali waaandishi na makuhani wote wamenipitia wakaondoka yeye alipo nipitiya na upendo mwingi akanirehemu kwa fadhili

verse/2
aliniponya kwa mafuta ya gharama kubwa akafunika jeraha zote nilikuwanazo

bridge/
nitaimba upendo wa mwokozi ulionitowa
gizani nitajivuniya msalaba wa yesu



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...