
boshen - raha lyrics
raha unazonipa, sijawahi kuona
pakiuma ukipashika, mwezio napona
wazidishie misifa, wasiopenda kuona
zinduna na sharifa, wazidi kununa
nionyeshe rumba, unanipa ambavyo sipewi
moyo unanidunda, buu baa, sielewi
ni generator, show zake umeme ukikata
yani uzezeta, natoka udenda, mi paka
matarumbeta, mwenzenu harusi naitaka
k+meremeta, nauliza nani asiyetaka?
nani huyo? nani huyo?
nani huyo?
nani huyo?
nani huyo? asojua
nani huyo? utamu wa mapenzi
nani huyo? atoke mbele
nani huyo? anyooshe kidole juu
yani utamu wako un+z+di kongoro
asa ya nini nipashe kiporo
wanagonga ngongongo na mlango siufungui
penzi letu sio pambo kitu ambacho hawakijui
yani kw+ngu una thamani zaidi ya jiwe la diamond
utachosema mi sibishi na sijuagi kusema no
mi generator, show zake umeme ukikata
yani uzezeta, natoka udеnda, mi paka
matarumbeta, mwenzenu harusi naitaka
k+mеremeta, nauliza nani asiyetaka?
nani huyo? nani huyo?
nani huyo?
nani huyo?
nani huyo? asojua
nani huyo? utamu wa mapenzi
nani huyo? atoke mbele
nani huyo? anyooshe kidole juu
Random Lyrics
- wallgrin - arrow to the wind lyrics
- joris hoogendoorn - tide (tijd) lyrics
- ben ben and no ben - rotes haar (schwarzer asphalt) lyrics
- king mala - little death lyrics
- strech - onna set lyrics
- circusfreak - shooter freestyle lyrics
- prodxmarv - he aint tough lyrics
- wraith king - izg dofna: a psalm of detachment lyrics
- doblajes en español - juntos libremente lyrics
- paolo jannacci - e allora... concerto lyrics