boutross munene - story ilianza lyrics
[intro]
this (ooh ooh yaah)
vile nilipatwa (aye)vile nilipatwa
yeah yeah yeah yeah
(ooh yaah)vile nilipatwa (aye)
yeah yeah yeah
[chorus]
story ilianza like this
vile nilikutana na peng(peng)
haga ilikuwa legit(legit)
jegi zilikuwa zinadance(dance)
so ilibidi nimechora(chora)
vile chipo atachotwa(chota)
k+mbe huyu ngeus anachora(chora)
vile bouti atatokwa
[verse 1]
(yeah yeah ayee)
ngeus alikuwa amepagawa(pagawa)
ningejua hapa ni tafash(tafash)
alispike up the liquor(ooh)
hapa bado nikizama(nikizama)
kichakani nilisaka(ooh)
nikapata nikawinda(winda)
mi ata sikuwa rada(sikuwa rada)
nilianza tu kuzima (aye)
shawty ran off with a laptop(laptop)
chains na bluetooth speaker
then nikaenda kwa kitchen(kitchen)
ata noodles aliiba(maze)
buda ilibidi nimewasha(aaah)
nitulie tu nikiwaza(waza)
vile huyu ngeus ameshinda(shinda)
anajua alimaliza(yeah aye aye)
ata nikipiga hiyo mbana(mbana)
mteja tu ndio mi naskia(prrprr)
ngeus ametambulika(lika)
mi nililalia maskio(mi nililalia maskio)
buda nilijua nimepatwa(patwa)
vile nilikuwa naona anaskwa(sakwa)
ilibidi nimewasha(ayee)
niendelee tu nikiwaza
(yeah yeah )
[chorus]
story ilianza like this
vile nilikutana na peng(peng)
haga ilikuwa legit(legit)
jegi zilikuwa zinadance(dance)
so ilibidi nimechora(chora)
vile chipo atachotwa(chota)
k+mbe huyu ngeus anachora(chora)
vile bouti atatokwa(oooh)
story ilianza like this
vile nilikutana na peng(peng)
haga ilikuwa legit(legit)
jegi zilikuwa zinadance(dance)
so ilibidi nimechora(chora)
vile chipo atachotwa(chota)
k+mbe huyu ngeus anachora(chora)
vile bouti atatokwa
[verse 2]
ayee
shida bouti alipewa hiyo duri vizuri
bouti aliibonda buda hakuuliza mbona
tumetoka hiyo dunda na dame hajachoka
k+mbe huyo ngeus ako maji ju
saa sita ya usiku alitema mogoka
vile nilikuwa mangwai
hadi nilicheki huyo dame akidoze
na toja but usiku alivyochachisha
shawty alipanda hadi kwa dirisha
vile ananyonya anapandisha
hakuna time mzae alilalishwa
buda hiyo mduks inatisha so ata akisonga
mi sikusoma ni ka mchele ilikuwa ndani ya cola
ju nilichoma then nikabonda then kitanda ikabonga
lakini kitandani usiku wa manane
baridi ilikuwa inanigonga ju dem
alitumia bedsheet kubeba njumu na nguo za gikomba
dame alihepa na mali lakini aliseti bado nyongi moja
ratchet intention, shawty imagine
chenye aliniachia ni ngotha
[chorus]
story ilianza like this
vile nilikutana na peng(peng)
haga ilikuwa legit(legit)
jegi zilikuwa zinadance(dance)
so ilibidi nimechora(chora)
vile chipo atachotwa(chota)
k+mbe huyu ngeus anachora(chora)
vile bouti atatokwa(oooh)
story ilianza like this
vile nilikutana na peng(peng)
haga ilikuwa legit(legit)
jegi zilikuwa zinadance(dance)
so ilibidi nimechora(chora)
vile chipo atachotwa(chota)
k+mbe huyu ngeus anachora(chora)
vile bouti atatokwa
story ilianza like this
vile nilikutana na peng(peng)
haga ilikuwa legit(legit)
jegi zilikuwa zinadance(dance)
so ilibidi nimechora(chora)
vile chipo atachotwa(chota)
k+mbe huyu ngeus anachora(chora)
vile bouti atatokwa(oooh)
Random Lyrics
- amalie skriver - nothing to say lyrics
- norris nuts - so pretty lyrics
- jet (band) - the only place that's up from here is down lyrics
- djouher - feelings for you lyrics
- jay cobain - lost hope lyrics
- the revivalists - concrete (fish out of water) (live at the hamilton) lyrics
- afourteen - chicken dance (prod. dltzk) lyrics
- clayton jennings - it's not over lyrics
- angela leiva - cobarde (2) lyrics
- пикник (piknikband) - остров (island) lyrics