boutross munene - tofauti/different lyrics
i say mr don’t keep your distance
fikra ndo itakufanya victim yeah
ni normal msela kuwa different
uovu wa maneno utapita
i say mrs don’t keep your distance
fikra ndo itakufanya victim yeah
mbona waogopa kuwa different
chuki ni tofauti ya kutishwa
ushaiambiwa na msee hauwezi ukaweza
ushaiambiwa na msee hautendi ukatenda
mindset different talanta haishindi effort
mawe itakuumiza maneno haiwezi kunja meko
the pressure inakupanda unakashifu hadi matha
ju flani ako dubai na flani ako sankara
unalilia ukiwa jiji ukicheka mtu wa moshatha
unasahau kusema asante uliamka after kulala
shida ni nini?
shida depression inatamba eey
tufanye nini
murder self hate haraka eey
shida ni nini?
shida shida kuendaga matanga eey
tujue ni nini
mola anajua kenye anafanya eey
i say mr don’t keep your distance
fikra ndo itakufanya victim yeah
ni normal msela kuwa diffеrent
uovu wa maneno utapita
i say mrs don’t keep your distance
fikra ndo itakufanya victim yеah
mbona waogopa kuwa different
chuki ni tofauti ya kutishwa
mi si mspecial mi pia nilikuwa na thoughts
labda ningedu kitu different ju bado sij+pop
then nilianza makali nightlife ikakuwa habit
nikaanza kusnort same time ninapop
but haikuitwa emptiness ilitolewa na talk
haikutoa hizo nyoka zilikuwa around zinacrawl
ilinipeleka deeper deeper deep kwa darkness
absence ya reality ikakuwa comfort ya matress
sai cheki state ni vile bouty anawalk
akili niliishinda mi huwachanga wanatalk
niligeuka builder nikaangush+ga walls
sai mi ni winner yeah i walk the talk
i say mr don’t keep your distance
fikra ndo itakufanya victim yeah
ni normal msela kuwa different
uovu wa maneno utapita
i say mrs don’t keep your distance
fikra ndo itakufanya victim yeah
mbona waogopa kuwa different
chuki ni tofauti ya kutishwa
i say mr don’t keep your distance
fikra ndo itakufanya victim yeah
ni normal msela kuwa different
uovu wa maneno utapita
i say mrs don’t keep your distance
fikra ndo itakufanya victim yeah
mbona waogopa kuwa different
chuki ni tofauti ya kutishwa
Random Lyrics
- galwaro, lizot & gabry ponte - like a prayer lyrics
- diligent delinquents - like this lyrics
- rondoe - my mini me's lyrics
- shark deep + itzz tiger - bruh lyrics
- kuba kluza - unnamed dark song lyrics
- mosh-pit justice - designed to suffer lyrics
- black $heep the iv - in my eyes lyrics
- theocoop - childhood lyrics
- lieu - awesome lyrics
- terrell morris - this woods lyrics