breeder lw - anza kudance lyrics
anza kudance yaani k!ll them na style
anza kudance tena sana slow wine
anza kudance usichoke kuna time
yaani anza kudance mamii anza kudance
asha anza kudance
yeah, asha anza kudance
ashaanza kudance asha anza kudance
ey, beat ikidrop tu, asha anza kudance
ongeza volume, asha anza kudance
deejay pull it right back, asha anza kudance
asha anza kudance asha anza kudance
beat ikidrop tu, asha anza kudance
ongeza volume, asha anza kudance
deejay pull it right back, asha anza kudance
asha anza kudance asha anza kudance
asha anza kudance yaani haana ata kasoro
vile unasonga ukiwa tipsy kidogo
na ulizaliwa bila spine kwa mgongo
nishatii nishakuweka kwa mpango
mi niko front row nakula kwa macho
the way she moves si ni true ana passion
don’t hesitate we nipee number yako
na hapa sitoki bila wewe hapo kando
if you tryna vibe niko home niko solo
tutachachisha we the baddest combo
only you ndio utazima hii moto
zingusha kiuno bila mbio dogo dogo
anza kudance yaani k!ll them na style
anza kudance tena sana slow wine
anza kudance usichoke kuna time
yaani anza kudance mamii anza kudance
beat ikidrop tu, asha anza kudance
ongeza volume, asha anza kudance
deejay pull it right back, asha anza kudance
asha anza kudance asha anza kudance
beat ikidrop tu, asha anza kudance
ongeza volume, asha anza kudance
deejay pull it right back, asha anza kudance
asha anza kudance asha anza kudance
ju baby girl we ni kamuivo
ju baby girl we ni kamuivo
ju baby girl we ni kamuivo
amka udance yaani hivo hivo
ju baby girl we ni kamuivo
ju baby girl we ni kamuivo
ju baby girl we ni kamuivo
amka udance yaani hivo hivo
tk bad man vile mi hu operate
alpha kile nadai naget
and if you bad then i’m glad nitakutaste
ikiwa ndani basi baby naza eja++++e
rada safi magizani past 8
fika haraka utanipata on the wait
na ka ni mechi mi ndio player mi ndio ref
mi ndio manager siezi kosa kuku s+x
body and chest umeni impress
unaeza flex coz you my next
nishawatoka wote ni ma ex
and baby girl no lie we ni empress
anza kudance yaani k!ll them na style
anza kudance tena sana slow wine
anza kudance usichoke kuna time
yaani anza kudance mamii anza kudance
asha anza kudance
yeah, asha anza kudance
ashaanza kudance asha anza kudance
beat ikidrop tu, asha anza kudance
ongeza volume, asha anza kudance
deejay pull it right back, asha anza kudance
asha anza kudance asha anza kudance
beat ikidrop tu, asha anza kudance
ongeza volume, asha anza kudance
deejay pull it right back, asha anza kudance
asha anza kudance asha anza kudance
ju baby girl we ni kamuivo
ju baby girl we ni kamuivo
ju baby girl we ni kamuivo
amka udance yaani hivo hivo
ju baby girl we ni kamuivo
ju baby girl we ni kamuivo
ju baby girl we ni kamuivo
amka udance yaani hivo hivo
anza kudance yaani k!ll them na style
anza kudance tena sana slow wine
anza kudance usichoke kuna time
yaani anza kudance mamii anza kudance
Random Lyrics
- kilpréz - bridges burnt lyrics
- goreshit - hot as balls lyrics
- shelestov - молодые/горячие lyrics
- meeting theodora's kindness - closing in on summer lyrics
- big thoughts - when you goin work lyrics
- flower (jp) - さよなら、アリス (sayonara, alice) lyrics
- rob ace - devil wears balenciaga lyrics
- the smithereens - from me to you lyrics
- josh phillips - what the buzz is all about lyrics
- raresteadea - туда-сюда lyrics