breeder lw - drop zone lyrics
nikiamka, nawasha ngwai, napiga ngasha
nakunywa ngiayi, naasha ndai
nadunda nai, zoza watoto after kirai
ziko kwa drop zone hizo ma mali
cheki kwa drop zone, aki walai
aki walai, aki walai
cheki kwa drop zone, aki walai
nikiamka, nawasha ngwai, napiga ngasha
nakunywa ngiayi, naasha ndai
nadunda nai, zoza watoto after kirai
ziko kwa drop zone hizo ma mali
cheki kwa drop zone, aki walai
aki walai, aki walai
cheki kwa drop zone, aki walai
wanasema dosh siku hizi ume change
ushaienda na msupa tangu lini picnic?
cops waliskia me ni big deal
nika have ku cryia jah me ni pickney, yoo
beast wakini pick me
jela ziko huko kwa stairs ndio ntalala nditni
ntalala na ma felon wenye wanaugua acne
me bado king ku finesse
njege wana njaro chafu is my character trait
mlihepa na sikuja na msee
nilipull na scr+p in my pet, ayy we
sikuangi na stress we baki mtaa
udetect mahali d+ck yangu ina stretch
foreign ndio bei, shout out diani
me siezi enda surfing dubai
mambang’a washainileteanga
za kijicho pevu tangu chuo
kuna siku opp alini target
na mtoo akanimiss hadi nguo
ever since football
tukiguzanga huko maisa na manucho
nak+mbukaa tukiendea zoot kwa gunia
ungenotice ni unusual
si hukata keg ata pesa turokote
now yuko kwa gang, ndugu wa toka nitoke
nilienda kwa plug akani charge
naskia ye ndio ako na tokkens
unabonga tuna beef, usibonge matope
unatakaje, si tuieke live in the open
nikiamka, nawasha ngwai, napiga ngasha
nakunywa ngiayi, naasha ndai
nadunda nai, zoza watoto after kirai
ziko kwa drop zone hizo ma mali
cheki kwa drop zone, aki walai
aki walai, aki walai
cheki kwa drop zone, aki walai
nikiamka, nawasha ngwai, napiga ngasha
nakunywa ngiayi, naasha ndai
nadunda nai, zoza watoto after kirai
ziko kwa drop zone hizo ma mali
cheki kwa drop zone, aki walai
aki walai, aki walai
cheki kwa drop zone, aki walai
mashida zangu ni 99 na 95 ni za ganji walai
zingine nne ni vile ntarise
mali unadai, cheza na price
breeder ni gent ki james bond
na para za ki ragga m+ffin kwa chuom
cheza na rieng na ulay low
aliongeza nyege ju ya moshi ya ndom
drop zone imejaa wasitiri
so na supply kamili kamili
mbogi iko ready unrully and willing
tafadhali we usicheze na mimi
mbota si rolly ni g+shock
ju naamini mwafrika ndio kristo
jesus piece kwa hio shingo
unaogopa kusota ama kifo
jifunze commerce ndio uongeze commas
breeder kwa verse, dosh kwa chorus
niliapa siezi kuwa beggar nairobi
si heri nipate pesa na hii hobby
si ni tk, nishauliza mbogi do you copy?uh
si ni given, niko mboka jioni kama watchie
nikiwa mless nilikua naogopa ma doggy
saa hii nadarwa na mab+tch ka dolly
nilifikaje hapa bila wao ku notice
time is now na jina ni breeder, konkii
nikiamka, nawasha ngwai, napiga ngasha
nakunywa ngiayi, naasha ndai
nadunda nai, zoza watoto after kirai
ziko kwa drop zone hizo ma mali
cheki kwa drop zone, aki walai
aki walai, aki walai
cheki kwa drop zone, aki walai
nikiamka, nawasha ngwai, napiga ngasha
nakunywa ngiayi, naasha ndai
nadunda nai, zoza watoto after kirai
ziko kwa drop zone hizo ma mali
cheki kwa drop zone, aki walai
aki walai, aki walai
cheki kwa drop zone, aki walai
Random Lyrics
- glenn acy - cons lyrics
- madi diaz - forever lyrics
- dj diddy - dj diddy not agian: the tour 2021 lyrics
- alrightnuff - antinome lyrics
- jillian edwards - quiet talk lyrics
- sos (straightouttasrinagar) - srinagar anthem lyrics
- fahnenflucht - träume lyrics
- sphum - eighth wonder lyrics
- young romantics - alone lyrics
- os figurantes - eu faço música lyrics