breeder lw - pattern lyrics
[intro: breeder lw]
ndovu, aki walai
baby unani, baby unanibamba
ukisonga na hio, songa na hio pattern
ju kila design inanibamba
naeza guza, eyo metro suka doba
[pre+chorus: breeder lw]
baby unani, baby unani, baby unanibamba
ukisonga na hio, songa na hio
songa na hio pattern
ju kila design unabanjuka inanimada
naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
ju kila design unabanjuka inanimada
naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha
[chorus: breeder lw]
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
[verse 1: breeder lw]
kipusa ukibanjuka mi hubaki nimezubaa
kwanza jo ukishika ukuta na ukiwhine vile inafaa
we ni softi na mang’aa we ni soshi we ni star
we ni msafi kila saa, dunga croptop bila bra
titik tiktok ebu zungusha na ustop
chali yako +n+lalisha ndo inafanya unanistalk
si ati nini si umeivisha nitakuingiza ndani box
twende chini katikati then nipeleke to the top
huh, just a minute, nasema just a minute
kam nikupe kitu itafanya ukuwe chizi
amini usiamini sikuangi chali hivi hivi
naeza gharamika we sema unataka nini
ka ni shots, pеwa, mzinga pewa
chaser nevеr, after lewa
tamashani hakuna time ya kulemewa
na umetoa mpaka ndula kwani we ni cinderella na—
[pre+chorus: breeder lw]
baby unani, baby unani, baby unanibamba
ukisonga na hio, songa na hio
songa na hio pattern
ju kila design unabanjuka inanimada
naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
ju kila design unabanjuka inanimada
naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha
[chorus: breeder lw]
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
[verse 2: ndovu kuu]
songa na tempo fanya tembo inakazana
mrembo ushaiskia tembo inabebana na banana
babe ukiniita kwako sidelay nafika jana
boy wako akule vako hii relay haiwezi fanana
kuna vile nashangaa ukienda chini siamini
jo kwanza venye unakaa mi sielewi uko na nini
umeniteka nimezubaa na mi sijui ka ni majini
nakufuata very loyal ni kama mi ni wa dini
riswa! ni mashetani ni ka umenilaani
riswa! kitabu gani biblia ama korani?
this why, nagutuana na figa ni mtihani
ni ka naugua mapepo na basi we ndo kuhani
kuna mtu, kuna mtu leo +n+lala ndani
si unajua kuna vitu, kuna vitu mbili haziachani
ndovu kuu na msitu, na msitu si unajua ni gani
aki walai mbio za nyani leo zinaishia jangwani
[pre+chorus: breeder lw]
baby unani, baby unani, baby unanibamba
ukisonga na hio, songa na hio
songa na hio pattern
ju kila design unabanjuka inanimada
naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
ju kila design unabanjuka inanimada
naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha
[chorus: breeder lw]
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
[verse 3: trio mio]
songa na hio pattern, songa na hio tempo
haga ndo inamatter, sura achia warembo
design ya kamati, utadhani ni msee wa mjengo
nguvu za cassava umezoea watu wa potato
mundu stamina stamina mwaga jasho kwanini?
msupa zamina zamina ka shakira na mimi
mi si ndwanzi na sikuangi na kujijocha lakini—
naeza tandika tandika hata kokoto na chini aii
usiwache ngozi ya rangi ikudanganye
lightskin but nacheza kama ngolo kante
nijipate, nikilalisha haijai happen
machette lazima istay sharpened
niko ready kukatakata madranya, nafanya vile nataka
nasanya madem manyanga vile paka husakanya panya
mafala mnang’ang’ana kuchanga mshike guarana
si ni madom pérignon tunamwaganga
[bridge: breeder lw]
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
ju kila design unabanjuka inanimada
naeza guza wapi ju vidole zinaniwasha
[chorus: breeder lw]
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
songa na hio, songa na hio
songa na hio pattern
Random Lyrics
- drihdreh - go / in ma balls lyrics
- cool uncle - mercy lyrics
- joel gibbons - through the streets lyrics
- kim dracula - hysterics lyrics
- insanlar gerçek olsa - cadde cadde lyrics
- z4 - pode acreditar lyrics
- clayton alex - the day lyrics
- jim moray - barbara allen lyrics
- 104 & скриптонит (skryptonite) - легально (legal) lyrics
- tonio armani - free at last lyrics