azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

brown mauzo - nimchague nani lyrics

Loading...

mmmmm ahhh
moyo w-ngu umejaliwa kupenda ina maana ikichukia
nachukia naendaa

nafsi yangu nahofia kuumizwa inamaana ikiumia naumia nakonda

maana mapenzi kamali nahofia kuliwa
kukuoa nagopa sababu nahisi ntaibiwaa

nmchague nani (nani) ooh nani (nani) jama nani (nani)
nmpee roho yangu
nmchague nani (nani) ooh nani (nani) jama nani (nani)
nmpee roho yangu
aaaah

hakhaaa
yamesh-geuka biashara skuizi wengi wananunua
yule ulie mchagua kesho yake an-z-ngua
yamesh-geuka biashara skuizi wengi wananunua
yule ulie mchagua kesho yake an-z-ngua

zile i luv you i need you i miss you
k-mbe misemo tuu ukweli upo moyoni
zile i luv you i need you i miss you
k-mbe misemo tuu ukweli upo moyoni

maana mapenzi kamali nahofia kuliwa
kukuoa nagopa sababu nahisi ntaibiwaa

nmchague nani (nani) ooh nani (nani) jama nani (nani)
nmpee roho yangu
nmchague nani (nani) ooh nani (nani) jama nani (nani)
nmpee roho yangu

yasije nkatisha rahaa nishindwe kulala ety kisa fulan
anidekeze kwa sanaa nikishamzoea mwenzengu aje nbwaga
ooooh
nisije lia kwa mazoea
nikaumia kwa mazoea ooooh kwa mazoea
nisije lia kwa mazoea
nikaumia kwa mazoea aaaah kwa mazoea

nmchague nani (nani) ooh nani (nani) jama nani (nani)
nmpee roho yangu
nmchague nani (nani) ooh nani (nani) jama nani (nani)
nmpee roho yangu

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...