
bruce africa - sare lyrics
[intro]
bruce africa pon dis again
dis again
[chorus]
kupendwa ananipenda
mpenzi w+ngu, sare sare maua
kupendwa ananipenda
mpenzi w+ngu, sare sare maua
[verse 1]
siwezi rudi bila chochote, uhakika
nitaleta chochote, kwa meza
hivi ndivyo vile inafaa
hivyo ndivyo vile inafaa
na nitapitapita kokote lazima
mungu yupo na mimi amina
nije nikutunze malikia
aah, yeah yeah
[pre chorus]
kukunda nakukunda, eh
ndicho ninachojua na unanipenda, eh
monday to sunday, nikugande unigande, tuvae na sare
kukunda nakukunda, eh
leo tutatoka ujiandae
put that smile for me
look what you done to me
[chorus]
kupendwa ananipenda
mpenzi w+ngu, sare sare maua
kupеndwa ananipenda
mpenzi w+ngu, sare sarе maua
[verse 2]
oh baby ah
sijali alikuwa na w+ngapi nyuma
upenda wake kw+ngu suna
anapendeza hata akinuna
sijali hata wakisema, anani puna
kwaajili yake nina jituma
nikama train haturudi nyuma
tuna uwasha moto
moto tuna uwasha moto
moto wawaka moto, fire yeah yeah
[pre chorus]
kukunda nakukunda, eh
ndicho ninachojua na unanipenda, eh
monday to sunday, nikugande unigande, tuvae na sare
kukunda nakukunda, eh
leo tutatoka ujiandae
put that smile for me
look what you done to me
[chorus]
kupendwa ananipenda
mpenzi w+ngu, sare sare maua
kupendwa ananipenda
mpenzi w+ngu, sare sare maua
Random Lyrics
- nora aunor - i'm so happy lyrics
- reagan youth - hapless misfits lyrics
- 張國榮 (leslie cheung) - 追族 (in cold blood) lyrics
- ted lucas - love took a trip lyrics
- paolo tommaso & krkl - ldt7 lyrics
- wheelup - we are the magic lyrics
- stray kids - burnin' tires lyrics
- sighsare - classy lyrics
- disarmonia mundi - oathbreaker lyrics
- herina (헤리나) - live in your heart lyrics