btian - lawama lyrics
vumilia vumilia
ni mapito tu
mbona mama unalia ae
machungu mengi moyoni sana ae
hayo yote ni kwa mda kesho yatakuwa shwari
vumilia hayo yote ni mapito tu uu
acha lawama mambo yatakuwa shwari ii
vumilia hayo yote ni mapito tu mwana
acha lawama mambo yatakuwa shwari ii
maisha tuishi kushukuru bila lawama tusije tukakonda
hali ngumu shida na dhiki kwa imani lazima utashinda mwana
karo kazi umekosa ae
hauna hata pa kwenda
oh maono lazima yatimie ali weh omba kwa saana ae
ona kule umetoka ae
ona vile una afya mwana
hata tena unaishi licha ya shida yafaa shukrani
na wengi w+ngetamani kuona ae
w+ngetamani kuishi mwana
hali yako ya mda licha ya umri na utabarikiwa ae
vumilia hayo yote ni mapito tu uu
acha lawama mambo yatakuwa shwari ii
vumilia hayo yote ni mapito tu mwana
acha lawama mambo yatakuwa shwari ii
haijalishi hulkako toka zama zile kubarikiwa ae
oh maskini na tajiri kuzaliwa kwake nasema so ajali eih
kwako yesu kusalamaaa aaa ooh ooh
baraka zake zi imara aa ooh ooh
awekaye imani kwake yeye atashinda maana ae
ayubu alivumilia mwisho akashinda mwana ae
ona kule umetoka ae
ona vile umeishi mwana
ushuhuda unao paza sauti na imba nimeshinda aaa aaa
vumilia hayo yote ni mapito tu uu
acha lawama mambo yatakuwa shwari ii
vumilia hayo yote ni mapito tu mwana
acha lawama mambo yatakuwa shwari ii
vumilia aah aaah aahaaa
acha lawama mwana aaa aaa aa
ona mimi nimeshinda ae
hata wale wakashinda ae
daudi pia alishinda pia nawe natabiri utashinda ae
vumilia hayo yote ni mapito tu uu
acha lawama mambo yatakuwa shwari ii
vumilia hayo yote ni mapito tu mwana
acha lawama mambo yatakuwa shwari ii
ayayayah
mapito tu
acha lawama wee
oh vumilia
vumilia
Random Lyrics
- markus schukowski - worth the fight lyrics
- daily carson - old memories (ft. declan vasconcellos lyrics
- deadify - shoulder pains lyrics
- luvseat - walked down lyrics
- grant claytor - no diving lyrics
- yoshixoxo - gallerydept lyrics
- georgina hill-brown - i now know lyrics
- we the kingdom - left it in the water lyrics
- funeral - idk her name lyrics
- uglygrigo & midagrape - urina 3 lyrics