budar best and komba - budar best hate (official audio song) lyrics
wana hate wana hate masnich macho juu
wana hate wana hate mabrother masister duu
wana hate wana hate tunapo taka tufike juu
wana hate wana hate tusha jipata tupo full ×2
wana hate wana hates , haters wana feak
hata life style yao see u wana act
tusha waeka benchi watamu kama keki
wacha watu dis masnichi keatu fesh
we know i’m the best me like a bank
my money is around me i get kudadadadeki
uki nifwata utapotea way ninayo tembea
stay away for me buda b staki umbea
waha jaribu kuni pima mimi sio typ yao
wana jaribu kuni zima moto una wachoma wao
aki liyangu iko vema mimi sina time nao sina muda nao wata juwa wao shauri zao
wana hate wana hate masnich macho juu
wana hate wana hate mabrother masister duu
wana hate wana hate tunapo taka tufike juu
wana hate wana hate tusha jipata tupo full ×2
wana heats wana heats
wana heats wana heats
wana heat ooowwooo
story mbay mtani mm nina paka ziwa
siv yangu hai pandi wanafi wanaikandia
nyota yangu ina shuka wachawi wana icheza
bado na still kibishi ukilegeza utapoteea
na bado na pambana bana na
na bado na kazana san pembeni brother
komba weed choma ile kwa sana sana
snich hawa fii tuna vyo ishi tuna juwa siii
pande za vibe zote tuna ruka haina kuchiil
hatuboi hato poi tuki lenga huch0m+i tuki kweka kwenye target tukikuweka hautoai
tuch0m+i tutoboi hispeed yabuda boi
na nipo na nyabu nino kitani na waacha hoi
wana hate wana hate masnich macho juu
wana hate wana hate mabrother masister duu
wana hate wana hate tunapo taka tufike juu
wana hate wana hate tusha jipata tupo full ×2
Random Lyrics
- stef lynn - shoestring lyrics
- tabitha - heling lyrics
- sarchasm - tides 2 lyrics
- šeki turković - ja sam hteo s tobom da provedem vek lyrics
- neil innes - elvis and the disagreeable backing singers lyrics
- smallmouth - culvert lyrics
- viviane audet - les louves lyrics
- ashley sienna - temptation lyrics
- vэл done - русский дух 2024g lyrics
- jesse welles - misery lyrics