azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

buruklyn boyz - billie jean lyrics

Loading...

[intro: mr right]
yo, tano nane
(you think you know me)
yo, yo, tano nane
listen, yo
yo, yo

[chorus: mr right]
wapo wanadai ku+hang na team
gang ni safi but sometimes si huchafua scene
the sky is blue but i always rock my pinky ring
kinywaji ni safi, hakuna stori jo za billie jean
za billie jean, za billie jean
wa+opp hudai ku+hang na team
gang ni safi but sometimes si huchafua scene
the sky is blue but i always rock my pinky ring
kinywaji ni safi, hakuna stori jo za billie jean
za billie jean, za billie jean

[interlude: mr right]
yo (5+8, 5+8, 5+8)
yo, tano nane (kwani ni kesho?)
yo, 5+8, 5+8, 5+8
yo, listen, yo

[verse 1: mr right]
wapo wanadai ku+hang na team (team)
wapo wanadai ku+hang na team (team)
gang yu hukuwaga na sk!lls, thats why my goon hukuwa na drill
nike, mi hukuwa na drip, cognacs, mi hukuwa na+sip
ai, mi hukuwa na k!ll, hitman, mi hukuwa na hit
agent 47, utadhani nimewekewagwa chip, ai
hii gang ni safi, hii gang ni safi, hii gang, hii gang ni clеan
hii shash ni safi, hii shash ni fatty, ai, hakuna ma+slim
na ka hauko active, ka hauko active, man, unatoka kwa team
hii gang ni safi, hii gang ni safi, hii gang, hii gang ni clеan
hii shash ni safi, hii shash ni fatty, ai, hakuna ma+slim (zi)
na ka hauko active, ka hauko active, man, unatoka kwa team (team)
na ka hauko active, ka hauko active, man, unatoka kwa team
[chorus: mr right]
wapo wanadai ku+hang na team
gang ni safi but sometimes si huchafua scene
the sky is blue but i always rock my pinky ring
kinywaji ni safi, hakuna stori jo za billie jean
za billie jean, za billie jean
wa+opp hudai ku+hang na team
gang ni safi but sometimes si huchafua scene
the sky is blue but i always rock my pinky ring
kinywaji ni safi, hakuna stori jo za billie jean
za billie jean, za billie jean

[verse 2: ajay]
uh, sikia
mresh wako ananipea juu ya fame ka mj, ye hunipea hio kitu nipige (beat it!)
hiyo kitu yako ni ndogo, hadi ukiwa ndani, huezi jua ka uko nje (uh)
mi bazenga, daddy, mradi zote za ganji, huh, mi hukuwa inde
mistari hutoka kwa hii kichwa ni mbaya, uh
unaeza dhani mi hukuwa sicked
hii drip ni clean, hii gang ni clean, hii gang ni wasafi sana (clean, clean)
sema cheza, mi nadai mabramba
mulla iki+smoke, nina+beef na nacada (uh+huh)
tano nane, sisi si wa ummo, ah, lakini tunazoza sana
nishakupea warning, mmsiseme tukikam, ah, hamkukanywa
[?] a minute, trouble na oti, jeshi wa mine ma+locals kama
kila mahali fake taste inafanya promoter anabaki ameweka lawama (ati)
mwisho ni kifaru ama taurus, ah, mwizi anapambwa
na ukae rada ya hao mayiela, ah, wanaweza kupaka
[chorus: mr right]
wapo wanadai ku+hang na team
gang ni safi but sometimes si huchafua scene (scene)
the sky is blue but i always rock my pinky ring (uh+huh, uh+huh, my pinky ring)
kinywaji ni safi, hakuna stori jo za billie jean
za billie jean, za billie jean (uh, uh, uh, uh)
wa+opp hudai ku+hang na team
gang ni safi but sometimes si huchafua scene (scene)
the sky is blue but i always rock my pinky ring (ring, uh, uh)
kinywaji ni safi, hakuna stori jo za billie jean
za billie jean, za billie jean (uh, uh, uh, uh, uh)

[outro: ajay]
tano nane, uh
[?]
m+r+i+g+h+t, uh
buruklyn boyz, gang!

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...