buruklyn boyz - dream ya kutoka kwa block lyrics
tano nane
(chorus)
tulikam na dream ya kutoka kwa block
yaani to get rich, tuomoke in+short
nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya god
nadai mk+mbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
ajay na m.right duo strong

(verse 1)
sisi si +rs+nali but watch nikipull+up na kirifle
society inadhani tunafumble
ati wao wanacheki kwa mneti kama ma idol
wanatupenda ju tunaenda viral
nilikuwa kwa mood mbaya nikaseti kishash nikakuwa ital
kwa ground mambo ni nare maboy wanafaa wareform
lakini watareform aje
na washajua ganji ilitoka na ndom
niko safe niko seti hizi zone
huwezi nishow venye we ni mwrong
kama anaita mbogi am sure niko na watu strong
hizi streets inataka kuwa mpole man yoh ama utapangwa
mresh wako asichеke na mgoon
huku east ama atamangwa
pereka huko ukidhani atajali hautalambwa
mkono zimеteta
msee atanitry, ataganda
(chorus)
tulikam na dream ya kutoka kwa block
yaani to get rich, tuomoke in+short
nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya god
nadai mk+mbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
ajay na m.right duo strong
(chorus)
tulikam na dream ya kutoka kwa block
yaani to get rich, tuomoke in+short
nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya god
nadai mk+mbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
ajay na m.right duo strong
(verse 2)
uh nilikuwa na chong na mi nadai hizo matrophy
na ka unani+owe ma ganji man
mi nadai kuwa na profit
that’s why mi hukuwa kwa office
men in black tu na rock ma koti
lately mi hutrust manoti
maisha yangu naachia sir god
flow ni ya kimaajabu na hii beat ni chopi
big boys si huset matrends na si huset ma subject
na nimekam nimerock mablue fam, chini ni red carpet
mafan wanadishi talent hadi day watablow hio trumpet
shash iko joh kwa chalice mi najik!ll close hio curtain
na mi sidai ma opps wajue vile nadraw hio pattern
huku daily si hurun maops na unaeza dhani ni circus
buruklyn boyz tulileta fracas kama ni drill close hio chapter
(chorus)
tulikam na dream ya kutoka kwa block
yaani to get rich, tuomoke in+short
nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya god
nadai mk+mbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
ajay na m.right duo strong
(chorus)
tulikam na dream ya kutoka kwa block
yaani to get rich, tuomoke in+short
nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya god
nadai mk+mbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
ajay na m.right duo strong
Random Lyrics
- jc conway - jeans. lyrics
- spizzenergi - central park lyrics
- yanni 2k - keep it 100 lyrics
- raga rockers - drept kjendis (live @ garage, oslo) lyrics
- ирина круг (irina krug) - подари любовь (give love) lyrics
- uji (bestie) - big change lyrics
- joe l.f - savannah lyrics
- jay chou (周杰倫) - grandma (外婆) lyrics
- schmyt - keiner von den quarterbacks lyrics
- abi angelos - woh ajnabee lyrics