buruklyn boyz - intro lyrics
[intro: ajay]
yoh
si unajua tukianza hii sh+t
sio wasee wengi walikuwa wana aminia
na, saa hii tuko mahali tunadai yaani
na bado wasee wanahate, adi tunacheki kwa macho zao bro
yoh (yoh, yoh, yoh, yoh, yoh)
“dream ni ya kutoka kwa block” (dream ni ya kutoka kwa block”)
“east mpaka london” (east mpaka london)
kwani ni kesho? (kwani ni kesho?)
yoh
every beat i make, k!lled this motherf+cking men
[chorus: ajay]
nak+mbuka waki tu bondea ku perform
saa hii crowd zote ngoma zetu sing along
ilibidi nikuwe mstrong
ilitake time, saa hii foundation iko strong
nak+mbuka waki tu bondea ku perform
saa hii crowd zote, ngoma zetu sing along
ilibidi nikuwe mstrong
ilitake time, saa hii foundation iko strong
[verse 1: ajay]
ilibidi ni go hard or ni go home (ni go home)
daily najituma sasa mission ka nko sombre (ka nko sombre)
mum ana ni need back home
utathani niko italy vile day ina roam
kwa hizi streets wana nauwo, me ni king kama von (kama von)
na mwenye ametambua kama, troy kwa hii throne (kwa hii throne)
tulitake losses but, still tuli bond
keziah alinipoteza, she was bad to the bone
makosa yangu, uh she was never wrong (haijawai kuwa)
ukinimiss, uh skiza my songs (skia,skia skia)
“east mpaka london” bado hio journey ni long
nimekuwa nikifuata my destiny since i was born
[refrain: ajay]
makosa yangu, uh
she was never wrong
ukinimiss, uh skiza my songs
east mpaka london hio journey bado ni long
nimekuwa nikifuata my destiny, since i was born
[chorus: ajay]
nak+mbuka waki tu bondea ku perform
saa hii crowd zote, ngoma zetu sing along
ilibidi nikuwe mstrong
ilitake time, saa hii foundation iko strong
nak+mbuka waki tu bondea ku perform
saa hii crowd zote, ngoma zetu sing along
ilibidi nikuwe mstrong
ilitake time, saa hii foundation iko strong
[verse 2: mr right]
ati nimekuwa kwa game approximately seven years (saba)
nilikuwa naogopa ku rap nitoe hio fear
naji rank kama mc na matrack, wan+z+skia
nikona worst back ground, vitu joh zina nakatsia
fanbase zimeshika siezi tembea cbd
ma fans wamakinika wanajua adi ku “piga lean”
yaani my day ones (day ones), rift ya malink wanashare link
fam’ will be proud wakiniona kwa big screen
huh, i’m the big bro take a home my lil siz’ (lil siz’)
i got two broz wako on this rap thing
[refrain: mr right]
not today ama tomorrow so day yako ita come
so ni “east mpaka london” be aware tuna come
i’m the big bro take a home my lil siz’ (lil siz’)
i got two broz wako on this rap thing
not today ama tomorrow but time yako ita come
so ni “east mpaka london” be aware tuna come
[chorus: ajay]
nak+mbuka waki tu bondea ku perform
saa hii crowd zote, ngoma zetu sing along
ilibidi nikuwe mstrong
ilitake time, but saa hii foundation iko strong
nak+mbuka waki tu bondea ku perform
saa hi crowd zote, ngoma zetu sing along
ilibidi nikuwe mstrong
ilitake time, saa hii foundation iko strong
Random Lyrics