
by monica bulali - nakutegemea lyrics
Loading...
uliye mwanzo nakutegemea
uliye mwisho nakutegemea
uliye alpha nakutegemea
uliye omega nakutegemea
bwana
nakutegemea+2
yesu
nakutegemea+2
uliniumba nikuabudu ewe bwana
tegemeo la maisha yangu ni wewe yesu
umenisamehe dhambi zangu messiah
umenisafisha ukaniokoa mwokozi w+ngu wee
kama sio mungu w+ngu ningekuwa wapi
kama sio wewe yesu w+ngu ningeenda wapi
mimi siwezi bila wewe jehovah
mimi siwezi bila wewe yesu
nakutegemea+4
upendo wako ewe yesu ni wa ajabu
ulikufa msalabani kwa ajili yangu
kwa mapigo yako yesu nimewekwa huru
umeniokoa ukanikomboa messiah
kama sio wewe yesu w+ngu ningekuwa wapi
kama sio wewe yesu w+ngu ningeenda wapi
mimi siwezi bila wewe bwana
mimi siwezi bila wewe yesu
nakutegemea+4
Random Lyrics
- corb lund - insha’allah lyrics
- rayanne vanessa - torneira grande lyrics
- g-hollow - wannabe lyrics
- @scythe495 - broken mirror lyrics
- ari | brandonplaysstuff - mario - the music box song (cannot forgive) lyrics
- יפה ירקוני - eem tishvu besheket - אם תשבו בשקט - yaffa yarkoni lyrics
- furious jones - lovin' hold lyrics
- rosendo - al lodo brillo (directo las ventas) lyrics
- younha (윤하) - airplane mode lyrics
- jonathan zelter - immer zu euch zurück lyrics