cadoh - my lady lyrics
[verse 1]
mapenzi upofu, nionyeshe
hisia zipande na nuru itang’ara
baraka ya mvua ikanyeshe
usiku nishangwe we ndo mtawala
[chorus]
you’re my bae, you’re my bae
you’re my lady tonight
you’re my bae
you’re my…
you’re my lady tonight
[verse 2]
jilinde mabaya, scandal
tabia na yako mienendo
utulivu wako ndo ng’ao ya kupaanda
kusema kuliko matendo
kazi ya kulilinda pendo
epuka ugomvi na vita kupambana!
“babe”
[chorus]
you’re my bae, you’re my bae
you’re my lady tonight
you’re my bae
you’re my…
you’re my lady tonight
[verse 3]
ni nini unataka, kipenda roho ?
ng’ombe wa maziwa au kangaroo?
nisije kukwaza ukaumia roho
nisije kukosa kipenda roho
ni nini nitende usiende?
mapigo ya nguva au kenge…ni nini? nieleze!
kifua kitana au tende, ulimi kwa chungwa au embe, ni nini? nieleze!
oh ooooh
[chorus]
you’re my bae, you’re my bae
you’re my lady tonight
you’re my bae
you’re my…
you’re my lady tonight
eh yeah eh yeah, na nana na nana
Random Lyrics
- defiant nature - disregard lyrics
- nightworkk - fire lyrics
- spoony souza - sensei lyrics
- sappfiregirl - bye bye (пока) lyrics
- shadow wizard money gang - warlock thug lyrics
- pure akan - odo aduane lyrics
- trip seller - профессионалы (professionals) lyrics
- sophia zamani - one of these days lyrics
- sarı balyoz - yanık gül lyrics
- dimasalrizqi - berlalu lyrics