cafu da truth & mambo makes music - homesick lyrics
intro (cafu da truth):
kila kitu ita pass, najua inaudhi kila siku ma mask, weekend bila club, ni mauti, wananchi wana starve, health workers wako harmed
verse1: (cafu da truth)
no dish niko homestill
no biz niko homesick
no please hatutaki promise
try ku reach mp utanotice
viongozi wote siwaoni
wananchi time ya polling
stay at home pia waambie sorry
hatuwezi kueka nguruwe kwa office
dunia ina heal time tunafight covid
leaders sijui wana expect type gani ya makofi, overseas daily wanadig ma coffin, tutry ku face situation boldly, imf international governing bodies, pesa ya relief isikue ya profit, ka hakuna kitu ya kuficha nitaacha kua nosy, patieni raia kazi ya audit, situation haiko rosy kind of th+rny, 1m apart ni enough ku move na mbogi, if u dont promise a new dawning ya k+maliza yawning.. aaargh
+hook (mambo makes music)
si tumejificha design ya kobe, funika macho face mpaka ata kope, tukisota si wa china tuwakope
me niko homesick.. me niko homesick
verse 2 (cafu da truth)
pandemic tungefight from the onset, buda
stay home waoni watu homeless, nyuma, wengine kuchujwa makeja na situation ni hopeless, bila unga, before rona kwa corner jobless, tupa lugha, boeka ka tu kwa nyumba, niki stare ukuta, na nikik+mbuka tulikubali flight za wuhan, f+cked up ju tulikubali foreplay, tumeanza kujuta, sa ni guidelines wanatoa, k+mbuka, mkono sanitize na udunge barakoa, ni poa kujichunga, na maskini hajui wapi chakula atatoa, na barabara wamefunga, cases za gbv ku increase kwa ndoa, familia zinakufa, itawacost nini kuhakikisha kila kitu iko poa, mtihani acheni kudunda, after izo ma lockdown mmetoa, tutaketi chini mikutano ya dharura
+hook (mambo makes music)
si tumejificha design ya kobe, funika macho face mpaka ata kope, tukisota si wa china tuwakope
me niko homesick.. me niko homesick
+outro+ (cafu da truth)
si ati tuna grudge, but kwa suti, zenye wabigi wanavaa, ni mangiri za ma lunch, tunafaa ata kuban, wasikuje mazishi, wasionekane ata church, kwa ma budget ni massage, but kama county yako kuna vitu zina lack, tukikupata kwa ufisadi ni masmack, trying to take the country back
Random Lyrics
- aizek - real one lyrics
- cgm - crib session lyrics
- jay mng - championsound lyrics
- трувонт (truvont) - dreams lyrics
- juliana silva - descanso em ti lyrics
- scapsis - narbe im gesicht lyrics
- gianni maroccolo feat. don backy & edda - sognando lyrics
- emiway bantai - round one lyrics
- sticky m.a. & polima westcoast - extendo lyrics
- mischiff - get to me lyrics