azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

casto mnyama - nikiwa star lyrics

Loading...

ukinipenda unipende
kabla ndoto zangu azijaja kamilika
naimani iko siku mambo yatajipa
ndoto zangu zitakamilika
utanipenda ukishasikia superstar
utatamani hata kujiweka
maisha ya kistar nyota ikishangaa
ukinipenda nitakuona kaa kero
nipende hata sina hizo chapaaa
tu enjoy ata nikiwa na jero

nikishakua star
utanipenda sana sitaweza kukuoa
nikishakua star
najua utakazana ila nitakupotezea
nikishakua star
utanipenda sana sitaweza kukuoa
nikishakua star
najua utakazana ila nitakupotezea

nitajulikana afrika tanzania kote
mtaani mimi ndo gumzo
kwenye tv na magazeti
taarifa zangu zitaenea
utatamani hata kunikiss
nafasi hiyo haitatokea
maisha ya kistar nyota ikishangaa
ukinipenda nitakuona kaa kero
nipende hata sina hizo chapaaa
tu enjoy ata nikiwa na jero
nikishakua star
utanipenda sana sitaweza kukuoa
nikishakua star
najua utakazana ila nitakupotezea
nikishakua star
utanipenda sana sitaweza kukuoa
nikishakua star
najua utakazana ila nitakupotezea

star aaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaa
star aaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaa



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...