chalizee - tena lyrics
intro
eeeeleleleleleaaah!!
chalizee tena tena tena tena
verse 1
twendee tukiinama twendee tukiinuka aah
kushoto kulia tumcheze wote
kama kangaru nitaruka ruka
kama tausi nitaringa ringa
kama fundi ukanijenga jenga aaeh
kwa wema umenieza
kama kangaru nitaruka ruka
kama tausi nitaringa ringa
kama fundi ukanijenga jenga aaeh
kwa wema umenieza
chorus
[ningurumishe nikuone tena
nishike nikuhisi tena
aaaah tena
tena na tena aaah tena] x2
verse 2
moyo w+ngu wee tulia
kwake yesu mi na hisia
kwa mapenzi na aminia eeeh
naaminia
[tumshangalie wote
tumfurahie wote
tumsujudu wote
kwa yesu raha] x2
chorus
[ningurumishe nikuone tena
nishike nikuhisi tena
aaaah tena
tena na tena aaah tena] x2
verse 3
tena,tena
aaah tena aahtena
tena, tena aah tena
chorus
[ningurumishe nikuone tena
nishike nikuhisi tena
aaaah tena
tena na tena aaah tena] x2
aaaaaaa aaaaaaha
outro
[beats]
end
Random Lyrics
- brief - should i? lyrics
- ashton shepherd - for boosin' lyrics
- jasper lotti - take u there lyrics
- richchoi - hà nội đây rồi lyrics
- transa samba - sensação desconhecida lyrics
- subir en busca del aire - dentro de ti lyrics
- felipe barcellos - ela é fiel a mim lyrics
- artur b. - canada drive lyrics
- parlemo - block lyrics
- kyd purch - generic lyrics