charisma (ke) - form lyrics
je unataka kuja ukiwa pekee yako
ama unataka kuja pia na mwenzako
usiseme we can do it another day
kama unataka form let’s do it today
[charisma & trio mio]
je unataka kuja ukiwa pekee yako
ama unataka kuja pia na mwenzako
usiseme we can do it another day
kama unataka form let’s do it today
[trio mio]
round one kuja solo kejani nikona form ya mtu mbwekse
nitext ukikanafi niplate kuku mbese
nkuset?
nimeshika skenk na malwethe
kiyets ka unadaisha badeng k’toa nje+nje+njeve
reggae na kigwethe
temperature ikizidi top toa baki ndethe
jil kwa empepe, nich kwa walenje
nakchekeshea kichele uski mabramba niko mbe+mbe+mbe+mbe+mbele..
kama leo unataka kujibamba
tunaeza hang kama shati zko kwa kamba (walaai)
singoji wikendi k’shika tumbler
naskia ikibamba sana gonga bega gonga kichwa alafu
nchezeshee kwa waist
nchezeshee kwa hips
nchezeshee ukispin shika mbotu shika dibs dunda dis side dat side nchezeshee ukiswing
je unataka kuja ukiwa pekee yako
ama unataka kuja pia na mwenzako
usiseme we can do it another day
kama unataka form let’s do it today
je unataka kuja ukiwa pekee yako
ama unataka kuja pia na mwenzako
usiseme we can do it another day
kama unataka form let’s do it today
[charisma]
mzinga ndio naitisha naiwakisha inachoma koo naikanyagia
nambuyia cider namsaidia anakaribia
ame carry pia carrie wahu ndio caliber
charisma nampa lugha anajua mluhya huwaga mkaliman
temper inapanda anapanga vile atapanda me
visa visanga kitanda ndo kutatanda she
shy lady kisiri lollo +n+lamba
midas touch nagusa anasema hapo inabamba
anafeel heat anataka ku undress
nyege ndo anadress akiserve like this
wamlambes anaifanyaga vibest
nikiangalia view naona vile i’m blessed
anafeel heat anataka ku undress
nyege ndo anadress akiserve like this
wamlambes anaifanyaga vibest
nikiangalia view naona vile i’m blessed
je unataka kuja ukiwa pekee yako
ama unataka kuja pia na mwenzako
usiseme we can do it another day
kama unataka form let’s do it today
je unataka kuja ukiwa pekee yako
ama unataka kuja pia na mwenzako
usiseme we can do it another day
kama unataka form let’s do it today
je unataka kuja ukiwa pekee yako
ama unataka kuja pia na mwenzako
usiseme we can do it another day
kama unataka form let’s do it today
je unataka kuja ukiwa pekee yako
ama unataka kuja pia na mwenzako
usiseme we can do it another day
kama unataka form let’s do it today
Random Lyrics
- dean dee - decided lyrics
- vishoko - realg4life lyrics
- rx papi - sorry i been ballin lyrics
- mkn coffee - the get down lyrics
- turnaround music & fmb dz - reloaded lyrics
- accessory - squeeze my heart lyrics
- gilberto gil, nando reis & gal costa - baby lyrics
- woody (shed theory) - igo lyrics
- alonzo - couteau dans le dos lyrics
- nino rucci & akpkyy - seloquito! lyrics