azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

chege feat. diamond platnumz - waache waoane lyrics

Loading...

said fella
tmk for life
(wasafi records)

ehh, check out…

maji ya moto yamekuwa baridi (lalalalaaaa)
hakimu nimekuwa shahidi (lalalalaa)
ukijishusha mateso yan+z+di (lalalalaa)
aloniliza ndo wakunikufariji (lalalaaa)

waache waoane
waache waoane
waache waoane
waache waoane

yamethibitisha macho lakini moyo unakataa
nimeamini kikulacho
ni yule unaona anaekufaa
nilifumba mboni zangu kwa wengine nimuone yeye tu
nikamwaga jasho langu
j+po kidogo nile na yeye tu

mwambie awe huru wala sitolalamaa (haaaa haaa)
sitaki kukufuru wafunge ndoa salamaa (haaa haaa)

waache waoane
waache waoane
waache waoane
waache waoane

anayepanga kugawanya waga ni mungu baba
kato siwezi kulalama riziki ni mafungu saba
nimejitahidi saana uwenda sik+mridhisha labda
ila kinachonichanganya hakuniambia kabda

tena nakupa maua mpelekee
wasije yatupa naomba wayapoke aah
na suna nitafunga usiku niwaombee
awape baraka muumba watoto awaletee eeehh aaahh

waache waoane (ohh salimini salama)
waache waoane (wewe baba na mama)
waache waoane (tena naweka na nadhiri)
waache waoane (aku sitowasumbua)

maji ya moto yamekuwa baridi (lalalalaaaa)
hakimu nimekuwa shaidi (lalalalaa)
ukijishusha mateso yamezidi (lalalalaa)
aloniliza ndo wakunikufariji (lalalaaa)

waache waoane
waache waoane
waache waoane
waache waoane

j+po moyo w+ngu (kitete)
moyo w+ngu (kitete)
yarabi moyo (kitete)
taratibu nitazoea

moyo…(kitete)
moyo w+ngu…(kitete)
mwenzenu moyo…(kitete)
taratibu nitazoea

ooh mama moyo…(kitete)
moyo hii…(kitete)
w+ngu moyo…(kitete)
taratibu mama eeh haa



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...