azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

chicha musiq - njoo lyrics

Loading...

intro :
heeeey ni bobo j eeeh eeeh ..
wanapenda kuniita…
chicha musiq

verse 1: bobo j
nguvu imeniishia yakuendelea
mbona shida matatizo kama mnanionea a ae
kwani ni kipi duniani mi sij+pitia
baada ya dhiki faraja ila kw+ngu sijaiona aae
baada ya dhiki ni dhiki ni dhiki ni dhiki na dhiki tena
siku zimejawa giza, furaha sina tenaa
nikijiuliza mbona ? mbona mimi?
kama maombi haya fiki iiii
nita ngoja mpaka lini iii
naona bora kaburini

chorus: bobo j
msaada njooo ooo ooooo
kabla pumzi sijakata
njoooo ooo oooooo

msaada njooo ooo ooo oo
kabla pumzi sijakata
njooo ooo ooo oo

verse 2: chicha musiq
unanipenda na na amini tu
all i need is a minute to
express vile nahisi
napitia mengi hizi stress vile na ishi
mbona nimeokoka na hizi nuksi hazi ishi?
moyoni nisha kufa kinacho baki mazishi

vipi nitamsaidia mama? sina chochote na unajua
umri w+ngu ni kijana ila mwili umepiga hatua
baba shuka usitumane, shuka usitumane baba shuka usitumane
natamani tukutane
bariki wanao ku amini na wasio usitukane
nimewacha kuimba sa nichane
baba k+mbuka wajane
yatima na walemavu na wazima usiwakane

waah!
pindi na lala njaa na sishtuki

mama ananiambia “son kaza buti, na kwa kifupi, hata utangulize mungu ukiwa na dhambi haumkuti

waaah!

mola nifanyie uepesi nakuhitaji kama samaki na maji
(nakuhitaji ii kama samaki na maji ee bobo j)

chorus: bobo j
msaada njooo ooo ooooo
kabla pumzi sijakata
njoooo ooo oooooo

msaada njooo ooo ooo oo
kabla pumzi sijakata
njooo ooo ooo oo

verse 3 : chicha musiq
hiki kipaji changu baba weh ndio unaki kuza
najituma sana ila watu wanani puuza
nimepitia mengi sana leo nimejifunza
sio walimu tu hata jiggers zina funza

mungu ndio kila kitu ila kila kitu sio mungu
sikulinganishi na yeyote hata na main chick w+ngu
usizime ndoto zangu weh ndio main switch yangu
nitoke dee(dandora) niende karen iwe ndio main street yangu

kupata na kukosa ndio mechi isio kuwa na draw
niwavalie ka suti niwakunywe hadi na straw
nikiwa mlangoni bill gates ananiita bro
hizo zote ni ndoto life imeni kaba koo
maisha sio rahisi kama godoro
bado nipo gizani giza totoro
wananiona msafi bila kasoro
mola nibariki niwache msotoro

chorus: bobo j
msaada njooo ooo ooooo
kabla pumzi sijakata
njoooo ooo oooooo

msaada njooo ooo ooo oo
kabla pumzi sijakata
njooo ooo ooo oo (x 2)

outro: bobo j
heeey mmmh njoo kwa bobo j
njoo kwa chicha musiq
msaada njoo ooo oooo oo
mmmmmmh mmmmhmmmmh
simba sounds production



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...