chicha musiq - toka teke lyrics
intro:
uuuuuuuu! heiyee heiyee
wanapenda kuniita “chicha musiq”
oooh noooo..
pre chorus: phil kimemia
shetani ana inama ,ana inuka , anaona moto mwenyewe ana toroka
anainama, anainuka, anaona moto mwenyewe ana toroka yeye
chorus:
“toka teke toka teke (huh)toka teke toka teke(heeh) toka teke toka teke (huuh) toka teke toka teke x2 ”
verse 1: chicha musiq
wanasema niko fiti
nawaambia mwenye keti
amefanya mambo hivi
bila yeye ingekuwa heavy
nilikuwaga tu ni dedi(died)
ku sn+tch ma tenje(phones)
nilikuwaga tu pedi(pedler)
kuwauziaga madre dre(drugs)
ila life amebadilisha
amefungua milango na ma dirisha
changer of time,yeye ndio ana badili saa
gari mpya mwenzenu na badili car
hata wezi naamini wata badilika
shetani hana nguvu
mbele zake mungu
ndio maana tukiendelea yeye anapataga machungu
bro simama sugu
kama maasai na rungu
tunamtimua teke teke jo hatumtaki huku
yeye akwende asepe sepe tumekuwa tukimshuku
aki toka teke sisi tuna sherehekea
aki waiter kuja leta pia mchele here
hakuna impossible
walevi huwa hawakosi dooh(pesa)
jesus is the water na mimi sibadili flow oo
pre chorus: phil kimemia
shetani ana inama ,ana inuka , anaona moto mwenyewe ana toroka
anainama, anainuka, anaona moto mwenyewe ana toroka yeye
chorus:
“toka teke toka teke (huh)toka teke toka teke(heeh) toka teke toka teke (huuh) toka teke toka teke x2 ”
verse 2 : chicha musiq
ukinituma nitaenda ( hataka ni) mbali
nikik+mbuka ulioyatenda cali (calvary
nikikuita unakuja ndani
shetani anapata pupa fally
hatoagi form yeye ni mgurm hali
mtaani man tunamuitaga bani
tushaa tambua jokes (zake) sio funny
“sio funny sio funny ”
ama ni badili flow ama ni badili flow ka eko dydda
am blessed wacha ni keep it real
and the rest i hope mnani feel
christ ameniweka hapa
hakuna kuniondoa
sheto nakupa talaka
kama tulikuwa kwenye ndoa
mola nakupa mamlaka
sababu ya kuniokoa
ukinicheki sina shaka
wewe jua niko poa
niliwacha story ya wizi (wizzy)
amili amili
niko ndani ya kristo
kamili kamili
niki sorta yeye huni sort na
mamili ma mili(millions)
neema zake zinatosha na
fadhili fadhili
pre chorus: phil kimemia
shetani ana inama ,ana inuka , anaona moto mwenyewe ana toroka
anainama, anainuka, anaona moto mwenyewe ana toroka yeye
chorus:
“toka teke toka teke (huh)toka teke toka teke(heeh) toka teke toka teke (huuh) toka teke toka teke x2 ”
verse 3 : phil kimemia
na malaika wa juu binguni
kanizungukia aaaaya x2
oooo ooo kamewaka ayaaa ya yaa
anatoka teke ye yeye
kamewaka aiyayayaaaaaa
eeeeeeh eeeeei
pre chorus: phil kimemia
shetani ana inama ,ana inuka , anaona moto mwenyewe ana toroka
anainama, anainuka, anaona moto mwenyewe ana toroka yeye
chorus:
“toka teke toka teke (huh)toka teke toka teke(heeh) toka teke toka teke (huuh) toka teke toka teke x2 ”
pre chorus: phil kimemia
shetani ana inama ,ana inuka , anaona moto mwenyewe ana toroka
anainama, anainuka, anaona moto mwenyewe ana toroka yeye
chorus:
“toka teke toka teke (huh)toka teke toka teke(heeh) toka teke toka teke (huuh) toka teke toka teke x2 “
Random Lyrics
- luke bond - walk away lyrics
- noodlejuice - candy canes lyrics
- matthias reim - verdammt nochmal gelebt lyrics
- amphetamine blue - only truth lyrics
- lee hendrix$on - mach five lyrics
- dillon carmichael - country boy lovin' lyrics
- chel maya - / 3 lyrics
- howard jones - hold on to your heart lyrics
- abeatz x drbox - bad mind lyrics
- mc kendinho - um nojo lyrics