azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

chidycare - ndoto lyrics

Loading...

[intro]
usiku imengia na upweke unanizonga
nak+mbuka siku za furaha
tulipokua pamoja
sasa kila kitu ni kivuli umenitoka
na moyo w+ngu unaumia kila nikiwaza

[chorus]
yote yalikua ndoto
mapenzi yetu ya zamani
uliniacha na maumivu
na sasa naishi kwa k+mbuk+mbu
kila siku napolia
nakuk+mbuka wewe
yote yalikua ndoto
na sasa siwezi kusahau
is chidycare

[verse]
picha zako kwenye ukuta
zinanik+mbusha siku zako zamani
tulipokua na furaha
na upendo usiokuwa na mwisho
lakini sasa ni maumivu
moyo w+ngu unavuja
uliniacha na uzuni
na maisha bila muangaza
[chorus]
yote yalikua ndoto
mapenzi yetu ya zamani
uliniacha na maumivu
na sasa naishi kwa k+mbuk+mbu
kila siku napolia
nakuk+mbuka wewe
yote yalikua ndoto
na sasa siwezi kusahau

[verse]
kwanini uliondoka
kwanini uliniacha
ninajaribu kusahau
lakini maumivu hayapungui
nakutafuta kwenye ndoto
lakini haupo
na moyo w+ngu unaumia kila nikiwaza

chorus]
mapenzi yetu ya zamani
uliniacha na maumivu
na sasa naishi kwa k+mbuk+mbu
kila siku napolia
nakuk+mbuka wewe
yote yalikua ndoto
na sasa siwezi kusahau
[bridge]
yote yalikua ndoto
kwa sasa umenitoka
lakini moyo w+ngu
bado unakupenda
kwa siku zote za maisha yangu
nitakuk+mbuka

[outro]
yote yalikua ndoto
na sasa siwezi kusahau



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...