chiefgeng - fufuka lyrics
cheki base
cheki base
cheki base kunaruka
kesho bana mi sitak+mbuka
zimelipuka mangusu zimenuka
hadi kesho ndiyo zangu zitashuka
lakini vile umekatika mi nimefuf+ka kichwa imerudi
nimefuf+ka
imerudi
nimefuf+ka, akili imerudi
start on monday mpaka ijumaa
si tumewaka sisi tumetaa
follow the drip venye mimi nimevaa
ati base place kwetu k+mejaa
dem wanadance, man+gga wako teyi
balanced diet, kajaba na ka kc
whine your waist kama bey+t
i do not cap kahush mi siwezi
yeah the gang crazy, burning through a stack
sh+t can never phase me we can make it back in a hundred different ways
you were thinking you were famous off a couple hundred plays
while my n+ggas all up in the bag like lays
if you want a text back that’s two business days
hitting on your girl like cassius clay
she want me to stay but the money don’t wait
i’m a little chiefed babygirl don’t hate
nimekomaa big booty don’t phase me
oop nimecap big booty amazing
joh umenijaa sina haya na maslay queen
babe, umeziona zimerunda i’m too lazy
base k+mejaa kaa kuna bash k+mbe ni sesh
baby alinijenga na masash
tuna cash, but the bud always flowing in a flash
yeah the bud always flowing in a flash
zima taa set the mood
niko na manjaa na si manjaa ya mafood
i’m a fool
something in her t++th k+mbe ni fudhi
what is on your mind, shorty say she wanna do me
prove it
form
venye inakaa ishajipa
wrong
number kaa sponyo unatafuta
gone
kaa dem wako ulimwacha kwetu
gonga
ikus wallahi itanitambua
njoki, ciku, bui, kui, foi
wanatudai na wako na boy toy
balenciaga hizi ni za toi
mafegi na mogoka wacha mi nijienjoy
jivinjari
yaani
s+xting na ako na chali
ghai
twerking na zimerairai
ghai
twa twa garini akidai
haiya
ngeus ni malaya
njoki, ciku, bui, kui, foi
wanatudai na wako na boy toy
balenciaga hizi ni za toi
mafegi na mogoka wacha mi nijienjoy
njoki, ciku, bui, kui, foi
wanatudai na wako na boy toy
balenciaga hizi ni za toi
mafegi na mogoka wacha mi nijienjoy
cheki base
cheki base
cheki base kunaruka
kesho bana mi sitak+mbuka
zimelipuka mangusu zimenuka
hadi kesho ndiyo zangu zitashuka
lakini vile umekatika mi nimefuf+ka kichwa imerudi
nimefuf+ka
imerudi
nimefuf+ka, akili imerudi
Random Lyrics
- the lovetones [au] - about the girl lyrics
- stres - bagabontii n-au plecat niciodata lyrics
- varos - meçhul lyrics
- dion yorkie - final goodbye lyrics
- crystal nicole - 25/8 (demo) lyrics
- גיאגיא - guyguy - חח - hh lyrics
- vusi nova - nomathemba lyrics
- kacey johansing - even a lot feels like nothing lyrics
- flowspace - огни lyrics
- microchild - chalan kulepbla lyrics