chindoman - nyokaa lyrics
story ba nyokaaa
kamchizi fulani hivi (rest in peace)
mamen is more
mhh mhh
ilikuwa za kina bar mida ya k+mi, mchizi kashapiga kama chupa k+mi
kalewa kajisahau ni most wanted
nyokaa mchizi wa unga limited
longa longa basi sikuizi vinafanya kazi
longa longa mda mrefu wakashtuliwa wazee wakazi (come on)
wakaibuka na pira lenye chata la chui
nyokaa alikuwa na chale na ubedui
akatoa pistol kiunoni kuwashut polisi
moja nyuma ya gari alikuwa kashika kipisi cha shortgun
akamlenga begani
mchizi akataka jibu akawa anapiga hewani
katokea mchizi mmoja kamlenga ya kichwani
kachaa kadondoka
flat akanyokaa
akawekwa kwenye wanten akapelekwa mochwali
kashafanya mambo mengi ya hatari
hakuwa na roho ya huruma
kipindi cha uhai wake nyuma
nyokaa!
ibilisi alimsuk+ma
mungu amlaze mahali pema peponi amen
hakuwa na roho ya huruma
kipindi cha uhai wake nyuma
nyokaa!
ibilisi alimsuk+ma
mungu amlaze mahali pema peponi
amen
aliingia selenbreeze moja tunadroo hela
mimi pcb na yuzzo msela
alikuwa na machizi wake wako kama sita
wakakalisha benki mzima wakachukua m6
ukafanyika msako mkali hawakuonekana
nyokaa na totoo hizimoo walilingana
ucriminal walioufanya ulishindika
labda huyo marehemu tobii kidogo uliendana
msala ulipozidi nyokaa akaamia polini
akajimiksi na apollo lakini haendi chini
wakaanzisha kigenge cha kutyme mabrooker
na kofia za mawe kwenye kempu zinazotoka
wazee wakapata taarifa zao
sema ni ngumu kuwashika machizi wanamtandao
ikifika weekend kambi inaamia mjini
alikuwa na mazoea ya k+minya stendi ya chini
hakuwa na roho ya huruma
kipindi cha uhai wake nyuma
nyokaa!
ibilisi alimsuk+ma
mungu amlaze mahali pema peponi
amen
hakuwa na roho ya huruma
kipindi cha uhai wake nyuma
nyokaa!
ibilisi alimsuk+ma
mungu amlaze mahali pema peponi
amen
maisha yakazidi kwenda
akazidi jificha
magazeti yote yakatoa zake picha
na chapaa kibao kwa atakae mshika
mchizi kuona hivyo kaanza badilika
hata washkazi zake akaona kama wanamuuza
ukimw+ngalia kidogo anafikiri unamchunguza
watu waanza mkwepa
ye akaanza sepa
mwisho wa nyokaa ukaanza karibia
akazidi kuwa na roho kama ya ngamia
ye na piki piki bunduki kiunoni
ole wako uwe snichi akutie machoni
akaanza kulewa sana afute mawazo
na nyokaa pombe sio tabia yake mwanzo
aliwahi kunyuti mahakamani mara tatu
akili ya nyokaa ilikuwa sana fyatu
siku hiyo za kinabar mida ya saa saba
mchana kweupe yupo na kahaba
ndio mwisho wa nyokaa kuishi duniani
yupo palepale maskini burihani
hakuwa na roho ya huruma
kipindi cha uhai wake nyuma
nyokaa!
ibilisi alimsuk+ma
mungu amlaze mahali pema peponi
amen
hakuwa na roho ya huruma
kipindi cha uhai wake nyuma
nyokaa!
ibilisi alimsuk+ma
mungu amlaze mahali pema peponi
amen
hakuwa na roho ya huruma
kipindi cha uhai wake nyuma
nyokaa!
ibilisi alimsuk+ma
mungu amlaze mahali pema peponi
amen
hakuwa na roho ya huruma
kipindi cha uhai wake nyuma
nyokaa!
ibilisi alimsuk+ma
mungu amlaze mahali pema peponi
amen
Random Lyrics
- ale y los paroles - vámonos macro lyrics
- organismen - 100 år lyrics
- ashley tucker - out of darkness lyrics
- tiffi - contact saved lyrics
- g.i. bro - cannibal justice lyrics
- frozen land - i would lyrics
- lego big morl - マイアシモト (the lowbrows remix) lyrics
- the mellowells - alexander supertramp lyrics
- chase holfelder - circles (minor key version) lyrics
- juan y los planetas - no me rompan las pelotas lyrics