chozenafitra - bamba a number (feat. y9a & dontchasejomo) lyrics
i’m always up in the kitchen
ndio maana moto nawasha
fifty percent huwa diction
ndio maana haters huwaza
twenty percent huwa difference
ndio maana hamwezi nipata
other thirty my addictions
originality na purpose
na nani anadai is the sh+t
baby daddy amekuja na pampers
i’ve been the flame in the streets
flow yangu summer na yadunga jumper
richie ndio ametweek hio beat
sema kuniongeza hunger
so lazma hii ngoma ihit
guaranteed itabamba a number
ulicheza tu sana sahii hujipati na doh
(pati na doh)
maisha nikapanga nikawacha kudoze
(nika wacha kudoze)
so pesa inakuja inakuja na more
(inakuja na more)
na kwenye benzo nilikuja na doh
kwenye dance flow alitupa mashow
though ni
sawa
alitaka hii chupa
sawa
alidai tu tooka
sawa
alidai kunitupa
yeah yeah
vile niko sawa
vile niko sawa?
alitaka kunishuka
sawa
akasema niko sawa
sawa
nikizima alisema atashuka
shuka
nikasema tu sawa
sawa
dawa tunachapa zikishuka
shuka
sahii niko sawa
sahii niko sawa
vile na dai niko sawa
sawa
vile nikichapa nikosawa
sawa
vile nadai niko sawa
sawa
huwezi ni chapa ni sawa
sawa
cant wait for the time watani air
ikikuja to beats guaranteed i’m a slayer
najuana na rappers kadhaa huenda church
y9a asimake it kwa scene ndio their prayer
napita nao waezi ni touch
najua wanajua that my future is clear
chicken they cluck note that they suck
competition and you posing no fear
over your head like your starter kofias
how it just be when up in your ears
heard your freestyles nika burst up in tears
on interviews lying you been rapping for years
honestly think you should switch up careers
the real one is back thanks for being volunteers
pressure’s real high you know i ain’t your peers
like a fox i’m too sly for you lazy gassiaz
hotter than chap mnaita ibilisi
only on tracks ndio na act kama fisi
aggressive attack cheza na mimi
nikwandikie verse itakukata ulimi
career yako shook inafanya shimmy
msupa wako nudes anatuma so freely
wasee wakubook yours fans wako sneaky
only because ulijifanya cheeky
standing tall walidhani ni gipsy
nakuja na gari za watu wawili
kama si cedi basi ni kimathi
kama si martin basi sijui ni nani
labda ni nyago amekuja na shanja
mw+ngaza ya ladha
maisha ni pana
kenye na waza ni shadda
kenye na sema tangaza
maisha ni tamu na raha
flow saba zilikuja na mali
sikudhani nitafika hivi mbali
watu wakija wanajua mi ni nani
nawakaribisha shika chai na sahani
nani anataka kupata kaa mimi
buda alienda siwezi kaa chini
nimebarikiwa
usije na jini
ukipata mali utakula na mimi
i’m always up in the kitchen
ndio maana moto nawasha
fifty percent huwa diction
ndio maana haters huwaza
twenty percent huwa difference
ndio maana hamwezi nipata
other thirty my addictions
originality na purpose
na nani anadai is the sh+t
baby daddy amekuja na pampers
i’ve been the flame in the streets
flow yangu summer na yadunga jumper
richie ndio ametweek hio beat
sema kuniongeza hunger
so lazma hii ngoma ihit
guaranteed itabamba a number
Random Lyrics
- pandaraps - fbs lyrics
- crow (arg) - risen vol. 1: eternal sunshine lyrics
- niño enfermo (arg) - "hiperbóreo" lyrics
- a nova banda da cidade - (de)repente lyrics
- cvpellv - outlaw lyrics
- april 99 - believer lyrics
- passenger - tip of my tongue lyrics
- 吳心緹 (esther wu) - f*** what they say lyrics
- silas - whatcha think lyrics
- harry styles - watermelon sugar (remix) lyrics