chris kaiga - chain chain lyrics
[pre#hook]
kaa imeweza, imeweza, na
kakienda, basi enda nayo
kaa imeweza, imeweza, na
ukibebwa, basi bebwa nayo
[hook]
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain
[verse 1]
wamlambez, kaa ulimi
nishakuwa champez na imewacha kuwa siri
ndio maana navaa ma#chain na machingri
na siku hizi, hata ukikam na sanse, sishikiki
na daily niko biz na ma#big fish wa jiji
ma#cheque hu#sign#iwa hadi kalamu haziandiki
maweng kibao, kuzibeba ni tizi
nakaa kanisa empty, hakuna kaa sisi
baadaye niko rieng ya ma#drinks na mayengs
by 9 niko tingz, naona nikibleki 10
saa hii siko right so itabidi nime#left
juu pori venye ziko, brathe, ni kaa zime#dent
[pre#hook]
kaa imeweza, imeweza, na
kakienda, basi enda nayo
kaa imeweza, imeweza, na
ukibebwa, basi bebwa nayo
[hook]
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain
[verse 2]
mi na ma#champez tuna#pop ma#champagne hadi
mama, ploti, ana#call masanse, aki
dhani ni ma#gunshot za bunde, nani
siku hizi tumekafunga, tukatupa key
ndio maana mi hudunga kaa msumari
na kitu imebaki ni k#mea tu kitambi
juu ndani ya walenje, nina kambi ya ganji
na siku hizi sina rende, nina gang ya wafuasi
[pre#hook]
kaa imeweza, imeweza, na
kakienda, basi enda nayo
kaa imeweza, imeweza, na
ukibebwa, basi bebwa nayo
[hook]
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain
[verse 3]
mi ni kama dredi after nywele sh#ggy, baby
better and improved, making power moves daily
siku hizi siwezi lose chance, niko rada deadly
na kama movie ya romance, siwezi kosa peng ting
nipe rieng, gathee, nicheze kaa mi
nakam na ma# (ss#ss), mayengs na ma#drinks
acha bash ibeng ka speaker ya ma#three
wakiteta ki#akothee, waambie, “call police” (call them)
[pre#hook]
kaa imeweza, imeweza, na
kakienda, basi enda nayo
kaa imeweza, imeweza, na
ukibebwa, basi bebwa nayo
[hook]
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain
kitu safi iende chain chain
mali safi iende chain chain
Random Lyrics
- gabriel garzón-montano - someone lyrics
- reynaldo hahn - fleur fanée lyrics
- tejon street corner thieves - no good lyrics
- יובל המבולבל - ha'derech sheli - הדרך שלי - yuval hamevulbal lyrics
- rockas viejas - rockas roll lyrics
- gomestria - pensa bem lyrics
- 5 seconds of summer - old me lyrics
- iris (dagames) - conquer with me lyrics
- cameronf305 - love yourself (interlude) lyrics
- z by z - searching lyrics