christian bella - chaku lyrics
[chorus : christian bella]
kukule lome, mwana nyawe lome
chakula kalele, mwana bitoto
kukule lome, mwana nyawe lome
chakula kalele, mwana bitoto
[verse 1 : christian bella]
chakuchaku mama (oooh ooh)
chakuchaku beiby (oooh ooh)
chakuchaku mama (oooh ooh)
chakuchaku sweety nakupenda sana
chaku unogire mwana
umeridhi uzuri wa mama
hilo jicho ukinitazama
chaku wewe
hata sina mako na udana
kwako nimetulizana
umepata bonge la bwana
chaku wewe
[pre chorus : christian bella]
hasa posa naleta, kuruka mabreka
kizungu unacheda, mpaka udeka
hasa posa +n+leta, uruka mabreka
kizungu unacheda, mpaka udeka
[chorus : christian bella]
kukule lome, mwana nyawe lome
chakula kalele, mwana bitoto
kukule lome, mwana nyawe lome
chakula kalelе, mwana bitoto
[verse 2 : alikiba]
una uzuri wa sura tabia
hata mama akakusifia
aaah kuwa na wewe, shaku wewе
na moyo ukigoda kalia
utakacho nitakupatia
aaah wewe ndo my queen, wa dunia
na nimezama mazima, nyebe kauli sina
isikutishe jina, ujanja sina, ni kweli ujanja sina
mimi ni kwako koro (koro)
binadamu hakosi kasoro (kasoro)
isikutishe jina, ujanja sina
ukweli ujanja sina
my cherie, oyebi na linga kayo
kajaa ntima, ozawa ngavali bella
my cherie oooh, oyebi na linga kayo
na mutema, ozawa ngavali bella
[pre chorus : christian bella]
hasa posa naleta, kuruka mabreka
kizungu unacheda, mpaka udeka
hasa posa +n+leta, uruka mabreka
kizungu unacheda, mpaka udeka
[chorus : christian bella]
kukule lome, mwana nyawe lome
chakula kalele, mwana bitoto
kukule lome, mwana nyawe lome
chakula kalele, mwana bitoto
[outro]
ale seteke jitoto ancheza anjikuna
ona john chibangu anajikuna
sasa na wewe jikune (jikune)
jikune jikune (jikune)
saje jipo jikune (jikune jikune)
ujebandu jikune (jikune jikune jikune)
thao mashunbe (jikune jikune jikune)
suk+ma, suk+ma
suk+ma suk+ma suk+ma
suk+ma, suk+ma
suk+ma suk+ma ah ah
suk+ma ndani
peleka ndani
fegelea ndani
komelea ndani
Random Lyrics
- mertohguap & souljah (tur) - mertohguap type beat lyrics
- nikolayprigoda - не нужен психолог (i don't need a psychologist) lyrics
- amvp - kirk lyrics
- rand0m78 - hopeless lyrics
- carlos do carmo - luz de corvo lyrics
- st6 jodyboof - killing the ref lyrics
- khasa mane - newstalgia lyrics
- kvartira134 - брюки (trousers) lyrics
- youngn lipz - nights like this lyrics
- neşe karaböcek - eşsiz sevgilim benim lyrics