christina shusho - tumsifu bwana lyrics
simama, simama simama aah tumsifu bwana
simama, simama simama aah tumsifu bwana
eeh baba, simama, simama tumsifu bwana
eeh mama, simama, simama tumsifu bwana
kijana simama, simama tumsifu bwana
watu wote simama, simama tumsifu bwana
simama, simama simama aah tumsifu bwana
simama, simama aah tumsifu bwana
ndugu yangu simama, simama aah tumsifu bwana
uliyeketi simama, simama aah tumsifu bwana
simama, simama simama aah tumsifu bwana
simama, simama simama aah tumsifu bwana
nasema nawe uliyemata tamaa
unaona kila kitu huwezi
kila jambo jema unalofikiri
mbona anawapa wengine
kama bwana aweza kutumia kila kitu
mwambie akutumie leo
mpe moyo na maisha yako
yote na wala si nusu
akutumie vile apendavyo
mwambie nitumie bwana
leo hii na wala sii kesho
leo hii leo hii
simama, simama simama aah tumsifu bwana
simama, simama simama aah tumsifu bwana
simama, simama simama aah tumsifu bwana
simama, simama simama aah tumsifu bwana
tukimuita atatuitika
tukimkaribia atatukaribia
tukiinua mikono yetu naye atatuinua juu
tukimpa mioyo yetu ataponya nchi yetu
njooni tulisifu jina lake bwana
enyi watakatifu wa mungu
maana kusifu kunawapasa
wanyoofu wa moyo
tumsifu bwana sifu bwana tumsifu bwana (tumsifu bwana)
tumsifu bwana sifu bwana tumsifu bwana (tumsifu bwana)
kwa makofi kwa nderemo na vifijo (tumsifu bwana)
kwa matone kwa vinubi na vinanda (tumsifu bwana)
simama, simama simama aah tumsifu bwana
simama, simama simama aah tumsifu bwana
katika sifa magonjwa yanapona simama simama aah (tumsifu bwana)
katika sifa mapepo yatoroka simama simama aah (tumsifu bwana)
katika sifa utukufu unashuka simama simama aah (tumsifu bwana)
usipo sifu hata mawe yatasifu simama simama aah (tumsifu bwana)
usipo sifu hata milima itasifu simama simama aah (tumsifu bwana)
ukinyamaza sisimizi watasifu simama simama aah (tumsifu bwana)
ukinyamaza hata mito itaimba simama simama aah (tumsifu bwana)
simama, simama simama aah tumsifu bwana
simama, simama simama aah tumsifu bwana
simama, simama simama aah tumsifu bwana
simama, simama simama aah tumsifu bwana
simama, simama simama aah tumsifu bwana
simama, simama simama aah tumsifu bwana
Random Lyrics
- paula carolina - heiß/kalt lyrics
- queef jerky - underground lyrics
- milena plavšić - ko te voli, ko te ljubi lyrics
- aaliyah morein - the beginning of the fall lyrics
- 巫孟儒 (chris wu) - call me? lyrics
- cru (1c) - owe it all to uu lyrics
- kamatayan - floating heads lyrics
- hunny bee - mermaid lyrics
- the szuters - drown lyrics
- truth (ccm) - how far his love will go lyrics